Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,518
- 5,147
Nina tatizo hapa,shemeji yangu kawapigia TANDAO FULANI kwa simu ya kwangu ambayo yamezani na kuwalaghai password na huo mtandao waka reset password na kaweka mpya kisha kaamisha fedha zote.
Mimi nipo mbali ila kuna mtu kanitonya,sasa nikawapigia (HUO MTANDAO) kwa namba nyingine ninayo tumia humu yule muhudumu kanithibitishia kuwa jana tarehe 7 kuna mihamala miwili,wa kwanza ni 384,000.
Sasa nikamuomba yule muhudumu anitajie namba ambazo zimefanya mihamala kasema namba inaishia na (00)hivyo kama nataka namba yote kuifahamu basi niwapigie kwa namba ile ambayo iliyofanyiwa mihamala.
KABLA SIJAKWENDA NYUMBANI NAOMBENI USHAURI WA IMEKUWAJE HUU MTANDAO UTOE PASSWORD KWA LAINI YANGU NA KUMPA MTU MWINGINE PASIPO MIMI.
NAOMBENI USHAURI HATUA ZA KUFANYA ZA HARAKA
ASANTENI.......