Licha ya uislamu kuwa violent kwanini watu hawaukimbii,

Licha ya uislamu kuwa violent kwanini watu hawaukimbii,

thegreat1510

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2021
Posts
1,512
Reaction score
4,017
Ukimuuliza muislamu wa kawaida kuhusu waislamu wenzake wenzake wenye itikadi kali na wauwaji atakwambia yeye ana uislamu wa amani.

Lakini hawa regular Muslims hata siku moja huwezi kuona wanakemea wenzao wauwaji, zaidi wanawalinda.
Besides wote wanatumia kitabu kimoja.

Kwanini isifike wakati hawa waislamu wema wakaungana na wakiristo na dini zingine kutokomeza waislamu magaidi?.
 
😁😁😁
Uislam utaendelea kuwatesa sana yaaani
Muungano na waislam kwa lipi na kwakipi na kwanini
Nyie muna dini yenu na sisi tuna dini yetu (tuishini humu)
 
Ukimuuliza muislamu wa kawaida kuhusu waislamu wenzake wenzake wenye itikadi kali na wauwaji atakwambia yeye ana uislamu wa amani.

Lakini hawa regular Muslims hata siku moja huwezi kuona wanakemea wenzao wauwaji, zaidi wanawalinda.
Besides wote wanatumia kitabu kimoja.

Kwanini isifike wakati hawa waislamu wema wakaungana na wakiristo na dini zingine kutokomeza waislamu magaidi?.
Vita vya Iraq ambavyo bush alitangaza ni vita vya msalaba,viliua wairaq milioni moja,ukiongeza vya Afghanistan wanafika watu 2m,mliwakemea wakristo wenzenu kuacha uuaji?
Obama alivurumisha makombora harusini kupitia drones huko Afghanistan na Pakistan,mmewahi kemea wakristo wenzenu wauaji?

Kati ya waislam na hao wakristo wa magharibi nani wauaji wa halaiki?
Marekani, uingereza na ulaya magharibi wote walituma silaha na vifaa vya intelijensia kwa Israel waue wapalestina zaidi ya laki na kubomoa kabisa miji yao,mmewakemea wakristo wenzenu?
Wakristo wa marekani na ulaya ndiyo wanaoendesha vita vya DRC ambako vimeua mamilioni,mmekemea?
Hapa tusizungumzie mauaji Australia, Namibia, USA nk
 
Kwa sababu wapo katika cult.

Wanaogopeashwa kuacha
Wanaogopeshwa kuhoji

Ila ukweli ni kuwa hio ni itikadi ilioletwa na pedophile na mbakaji ila wao wanamtulkuza 😁😁

Its a mind thing, hata wewe unaweza tafuta kundi la vilaza na ukalipiga msasa.
 
Back
Top Bottom