Naomba kujuzwa mshahara wa OC za RC , RAS, DC , DAS na Katibu Tarafa

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,302
2,000
Salaam Wananzengo wenzangu.


Hawa viongozi wetu wanalipwa mshahara kiasi gani? Gharama za kuendeshea ofisi ( stationary , mafuta ya gari , posho etc) zikoje ?

Huwa naona kama wanazunguka sana (Ukiacha Katibu Tarafa). Wana ziara nyingi za kitaifa (mfano misafara).

Kuzunguka huko kuna-associate sana na posho , malazi , matairi ya magari, service za magari, stationary charges, kutoa michango mbalimbali, kushiriki invitations /makaribisho kwenye matukio kadhaa ndani ya maeneo yao n.k.

Hivi RC ,DC akienda likizo anaenda na gari ya serikali au anapack ofisini kwake?


Asanteni
 

majoto

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
2,180
2,000
Utapasuka moyo bure! Ukiona Ofisi jua kuna matumizi ya kina aina, magari, umeme, maji na meengi mengine ... malipo na marupurupu ni lazima. Cha umuhimu ni wafanye kazi wanayotakiwa kufanya!
Usiache kukusanya kodi!
 

Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,181
2,000
Fanya mambo yako, acha na umbeya mkuu
Uliza bei ya mahindi na maharage au mchele huku tarime tukusaidie ,unaweza uza huku ukapata faida
Huku debe la mahindi ni shilingi elf 15 hadi 17
 

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
822
1,000
Unaelekea kuroga wewe si bure.
Nakushauri uende Dodoma kwenye bunge utajua bajeti zinaandaliwa.
 

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
3,841
2,000
TLS (Tanzania leaders Salary Scale) tafuta hiyo kitu nisome vizuri .ipo kwenye standing order
 

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
1,895
2,000
Mtu anamponda muuliza swali. Mtu mwingine akija kujibu na ikithibitika ni kweli,yule mpondaji analihifadhi kwenye ubongo wake.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom