Wote tumeona vivuli vyaoHili bato ni ngum kumeza
Exactly 💯Scramble for power
Japo 2030 neither Riz nor Mako will make for president
Kwa vision ipi???APATE MAKONDA TU, VISION YAKE NCHI ITAKUWA KAMA ULAYA HII.(Japo upande wa upinzani utapata tabu kweli)
Tuupe muda nafasiExactly 💯
😁😁😁
Ndejebi kawekwa na kikwete,kikwete akiamini Ndejebi ni rafiki wa mwanae .xo tayali tutabrockAjaye si ni Ndejembi? Au mtabatilisha Katiba?
Hahahahah,makonda hana rafiki .Sina uhakika ila nafikiri makonda na riz ni marafiki wa kitambo na riz ndio kamleta konda katika ulingo wa siasa
Kikwete angekuwa na nguvu ya kuamua nani awe Rais, Membe angekuwa.Ndejebi kawekwa na kikwete,kikwete akiamini Ndejebi ni rafiki wa mwanae .xo tayali tutabrock
Nguvu anayo 90%.presure wakati mwingine.hata 2030 kitakachofanya lizy asiwe rais ni pressure ya watuKikwete angekuwa na nguvu ya kuamua nani awe Rais, Membe angekuwa.
Kisiasa 2030 ni mbali sana.Nguvu anayo 90%.presure wakati mwingine.hata 2030 kitakachofanya lizy asiwe rais ni pressure ya watu
Kipindi hicho Mkapa na Mwinyi walikuwepo, sasa hivi kabaki mwenyewe.Kikwete angekuwa na nguvu ya kuamua nani awe Rais, Membe angekuwa.
Kipindi hicho Mkapa na Mwinyi waliamini wamebaki wenyewe tu.Kipindi hicho Mkapa na Mwinyi walikuwepo, sasa hivi kabaki mwenyewe.
Riz 1,hatokuwa raisi kwa miaka ya hivi karibuni!
2040✓