masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,746
- 14,821
Jamani , hapo Kweka ataangusha kisago cha haki kabisa!
Hiyo ni ajali? Unadhani kila uharibifu wa gari bima inalipa? Kasome masharti ya bima na uyaelewe.Gari ikishambuliwa na kichwa kama huyo BIMA wanafanyaje
Kuna wakati wanawake wanakuwa wehu kabisa!Kwa nini sasa ana haribu mali
Hao wanaomwangalia huyo muharifu ni wanaume kweli???
Wana akili nusu!Kuna muda wanawake wanatafuga Kifo wenyewe ila basi tu sitaki kusema mengi sana