"Ukikimbia kuingia chumbani, wanakichoma moto," anasema Fatima, akielezea shambulio la hivi karibuni katika kijiji chake Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. "Ukitoka nje na kuanza kukimbia...
Nimeona video clip ambayo muheshimiwa waziri Kabudi anazungumza nia ya wizara yake kusimamia mchakato wa kuufanya mziki wa SINGELI kuwa mziki rasmi wa kuitambulisha Tanzania jambo ambalo sio...
Link-Mgunduzi wa kipimo cha HIV(PCR), Prof.Kary Mullis hakubaliani kwamba HIV anasababisha AIDS: na Anasema hata Kipimo chake hakiwezi kumwona HIV .
Njoo kwa madaktari wa kibongo sasa 🤣🤣🤣...
Kuna haja ya kutathmini upya ubora wa elimu inayotolewa na vyuo vyetu vingi vya kati na vya juu. Tumekuwa na utaratibu wa kuamini kuwa kijana anapomaliza chuo anakuwa mtaalamu aliyekamilika...
Ameandika Juma Kiaramba na hapa namnukuu
"Namshukuru Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa mjumbe wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za...
Maisha ni technique, hakuna roho yoyote inayoendesha maisha yenu ya kuwasaidia katika tabu au kuwaadhibu wanaowafanyia vita
Maisha ya mshindi ndugu zangu, aliejaa juu ndio anatunga sheria, hakuna...
Angalia ukatili dhidi ya wadada wa kazi.
Tazama video hii ya mfanyakazi akipigwa fimbo na bosi wake akidai amemuibia hela, kisha kuamua kupiga mbele ya mwanae na mwisho wake akamfukuza nyumbani...
Hii barabara haikamiliki hata kidogo, kibaya zaidi wanajenga na kuchimba mashimo makubwa
Kibaya zaidi baadhi ya vijipande wameminya njia na rest zinatengenezwa kama Garden na kuwekwa peving?
In...
Nikiwaza mustakabali wa taifa hili, afisa kipenyo, mh. Muwekezaji wa mabnda ya chips dar na mikoani, mlimaji wa ufuta na mpunga, mshauri mzuri na mwanadiplomasia nimetulia nikipata chakula cha...
Kipindi Nchimbi anazungumzia suala la wananchi kupambania katiba mpya wadau wengi humu walidai ni tamthilia chama tawala kinafanya na EN ni muigizaji tu...
Wakasema wakitaka waamini kama kweli...
Darasa la saba wakiwa wanamaliza, madalali wa kisukuma wamekita kambi lake zone kuchukua mabinti wa kazi.
Madalali hao wanakupigia simu utume nauli, anakuletea mtoto ambaye kwanza ana uwezo wa...
Kila safari ya uongozi huanza na hatua moja na kwa Deogratius John Ndejembi, hatua hiyo imejengwa kwa miaka ya uzoefu, utumishi na majukumu mbalimbali katika uongozi wa umma.
Kutoka katika ngazi...
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa...
Hawa ndio wanasiasa 3 Ambao napenda Kuwasikiliza wanapotoa Hotuba zao.
1.Mh.Samia Suluhu Hassan
-Huyu Huwa anaongea Kwa utulivu wa Hali ya Juu na ulimi wa kiungwana,hanaga makeke Wala mihemko...
Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (kulia), akikabidhi dawati kwa Diwani wa Kata ya Kilosampepo, Boniventure Killian Mwanga (kushoto), dawati hilo ni mojawapo ya madawati...