Kuna kitendo cha kikemia kinahusika kuunda vinywaji hivi kuna juice zenye kulevya,kuna mchanganyiko mwingine mbaka unatoa moto au moshi na mtu unapokunywa huelewi unakunywa juice,wine,gin au...
kuna wasanii kwenye mziki, filamu etc walikuwa wanatenbelea nyota za wasanii wengine lakini kwa sasa ni kama washakufa.
Mfano
Ben kwa kanumba
Kr mullah kwa wanaume tmk
na wengine.
Je hii...
Wenye Ajira na Wasiokuwa na Ajira: Je, Tunaelewana Kweli?
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anayesema “maisha ni magumu” akiwa na mshahara unaoingia kila mwezi, na yule ambaye kila asubuhi...
Ni Aina gani ya pombe hautamani hata kuisogelea ilikufanya kitu kibaya.
Mimi hizi wine za dodoma aisee ziko ovyo sana jamani niliumwa wiki nzima.
Je ilikufanyia kituko gani
Mmoja ya vijana wayahudi waliokuwa katika camps za mateso alizokuwa amejenga hitler kwa ajili ya kuangamiza kizazi cha kiyahudi aliandika hivi ukutani "KAMA MUNGU YUPO BASI ANATAKIWA KUNIOMBA...
Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo...
Katika ulimwengu wa kiroho, viumbe hai wote wana masafa ya nishati wanayofanyia kazi. Hata hivyo, kuna wanyama na ndege fulani ambao kimaumbile na kiroho wana milango ya fahamu iliyo wazi kuona...
Nakutana na changamoto ya taasisi nyingi za serikali, mawasiliano yao (namba za mawasiliano kuwa hazipatikani) wakati ukikwama katika ukamilishaji wa mahitaji katika tovuti zao.
Mfano TaESA ni...
Mmoja ulimi, mwingine dushelele! 😎
Wawili hawa wala hawana mfupa lakini shughuli yao huwa ni pevu.
Basi nyote nawasihi muwachunge hawa mabwana wasije wakaleta mabalaa.
Ni hayo tu kwa leo.
Kwa karne nyingi, paka hawajawahi kuwa wanyama wa kawaida wa kufugwa. Tangu enzi za Misri ya Kale hadi zama za wachawi wa Ulaya, viumbe hawa wameonekana kama madaraja kati ya ulimwengu wa nyama na...
Namba hii 369 tofauti na namba zingine inachukuliwa kama namba takatifu inayobeba ufunguo wa siri za Uumbaji na ufahamu wa juu wa mwanadamu.
Haionekani kama tarakimu za kawaida za hesabu, bali...
Maisha ni safari ndefu na changamoto nyingi..!Hofu nyingi na kukata tamaa kwingi..!
Na ni jambo la kawaida kibinadamu kukumbana na nyakati ambapo imani ya maneno haitoshelezi kukabiliana na hofu...
Kiongozi wa kiroho kujihusisha na biashara au siasa
Nianze kwa kuuliza swali: je ni sahihi kwa kiongozi wa kiroho, kwa mfano mchungaji, kuwa mfanya biashara, au kugombea nafasi za kiserikali au za...
Ripoti maalumu
Rafiki yangu bill na mlevi mwandamizi, mzaliwa wa kigogo roundabout, hua akisema kitu juu ya spirits zetu bongo namkubali.
Kwanza tulipiga story za grants, black & white...
Tunatumia sehemu kubwa ya maisha yetu kungoja kuliko kuishi.
Tunangoja tumalize shule.
Tunangoja tupate ajira.
Tunangoja tupate mchumba.
Tunangoja mchumba abadilike.
Tunangoja ndoa.
Tunangoja...
Tunamsihi Rais au Waziri Mkuu atuambie hatima ya Kwala Dry Port ni ipi.
Juzi tu kulikuwa na mjadala kuhusu mabasi kutokuingia mjini kwa lengo la kupunguza msongamano katikati ya jiji. Cha ajabu...
Naona Wazanzibari wanasema sisi ni wabaguzi eti kwa sababu Rais ametoka Zanzibar.
On paper Samia ni Rais wa Muungano, yani wa Tanzania yote, lakini Zanzibar ina Rais wao tayari kwa hiyo wana...
Imefanya nchi kuwa maskini toka tupate uhuru kutoka kwa mkoloni.hadi sasa ni umaskin tuh hatuna cha maana ni upuuzi tuh.
Uganda, Kenya ipo mbele yetu...
Wakuu kwema? Nimepata mada fulani nzuri sana kupima uelewa, mawazo na mitazamo tofauti tofauti ya watu kuhusu nchi yetu. Matajiri wengi nchii hii ni watu wenye asilia Asia. Nini mtazamo wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.