Umeahaenda kukusanya ushuru?Astakafirilah mtumishi wa Mungu 🙆
kwa id za namna hii, hata akipatwa na mapepo sio ajabu mkuu!Shetani Satan na mkewe satans wife wapo hapa
Unakuta yeye mwenyewe mpango mzima, jf ni kichaka!kwa id za namna hii, hata akipatwa na mapepo sio ajabu mkuu!
Asante. Kwa nadharia iliyojengeka ni kwamba yeye ni "conscious beingMbona umemuulizia kama mtu (nani) na siyo kitu (nini)?
Umeshawahi kukutana naye ana kwa ana mpaka umpe hiyo hadhi?
Ni malaika muasi mkuu!