Wafugaji (wamasai n.k) nisikilizeni kwa makini! 😎

Supapawa

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2026
Posts
900
Reaction score
2,163
Enyi wafugaji sikieni!

Katika msimu huu wa mvua unaotarajiwa kuanza nataka nilime mashamba makubwa pale Morogoro.

Sasa nasikia ninyi wafugaji (wamasai n.k) huwa mnatabia ya kulisha mazao ya watu ng'ombe wenu, kwa mfano nasikia kule Uru - Kilimanjaro mnaingiza tu mifungo katika mashamba ya watu ambayo bada hayajavunwa.

Najua Morogoro wafugaji wengi mmekita kambi huku, naambiwa mkishaona ng'ombe wenu wamekosa malisho wala hamkawii kuwaingizia katika mazao ya wakulima. Nataka niwaambie tu kuweni makini maana Supapawa yu aja kuwekeza katika kilimo huko Morogoro.

Kuweni makini sana, la sivyo mtaumia! 😎
 
Kuna jamaa alipiga dawa nyasi kuzunguka shamba lake, wacha ng'ombe ziharishe, ziliharisha balaa
 
Na hiyo loshoroo watatengeneza kwa mahindi yako mwenyewe.Watavuna kama ni ya kwao.Tulia ujionee the muzique!
Huwa nawaangalia wanavyolisha mahindi ya watu ng'ombe wao. Sasa ngoja niwaoneshe kazi.

Nawaasa wamasai waliomo humu wawatahadharishe wenzao kwa maana tofauti na hapo maafa yatatawala.
 
Mtakutana na DC Magoti atawasuluhisha na masheikh wataitea wawaombee dua njema.
 
Enyi wafugaji sikieni!

Katika msimu huu wa mvua unaotarajiwa kuanza nataka nilime mashamba makubwa pale Morogoro.

Sasa nasikia ninyi wafugaji (wamasai n.k) huwa mnatabia ya kulisha mazao ya watu ng'ombe wenu, kwa mfano nasikia kule Uru - Kilimanjaro mnaingiza tu mifungo katika mashamba ya watu ambayo bada hayajavunwa.

Najua Morogoro wafugaji wengi mmekita kambi huku, naambiwa mkishaona ng'ombe wenu wamekosa malisho wala hamkawii kuwaingizia katika mazao ya wakulima. Nataka niwaambie tu kuweni makini maana Supapawa yu aja kuwekeza katika kilimo huko Morogoro.

Kuweni makini sana, la sivyo mtaumia! 😎
Hao jamaa akili zao wanazijua wenyewe ,cha msingi ukishaona mazao yameanza inabidi uweke vijana 24/7 wa kuangalia hao wehu wasijek ukutia hasara.
 
 Jipange kama alivyojipanga Jibaba.

Screenshot_20260422-164806_Facebook.png
 
Hao jamaa akili zao wanazijua wenyewe ,cha msingi ukishaona mazao yameanza inabidi uweke vijana 24/7 wa kuangalia hao wehu wasijek ukutia hasara.
Kabisa. Hawa jamaa akili zao vimepinda halafu serikali inawalinda kama wanyama wa mbugani.

Nyerere Kuna baadhi ya sehemu alichemka sana.
 
Huwa nawaangalia wanavyolisha mahindi ya watu ng'ombe wao. Sasa ngoja niwaoneshe kazi.

Nawaasa wamasai waliomo humu wawatahadharishe wenzao kwa maana tofauti na hapo maafa yatatawala.
Mkuu,hebu fuatilia simulizi ya mdau hapa chini ndipo uchukue maamuzi ya uwekezaji mkoa wa Morogoro

Serikali ndiyo inawale Hawa jamaa vibaya. Mmasai ni mtu kama watu wengine, haya u-special wowote.

Alaumiwe Nyerere katika hili.

Sasa ngoja Mimi niende kuwakomesha.
 
Back
Top Bottom