Aina tatu za saratani zinazoathiri maisha ya wengi nchini

Aina tatu za saratani zinazoathiri maisha ya wengi nchini

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,137
Reaction score
884
Katika kukenga uelewa kuhusu Ugonjwa wa Saratani, kupitia Maelezo Podcast tumemualika Daktari Bingwa wa magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (OTCI), Dkt. Chrispin Kahesa, tumezungumza kuhusu Saratani na namna inavyoathiri makundi mbalimbali katika jamii, jitihada za kuzuia na tiba ya saratani.

Bofya kusikiliza 👇🏾


Sikiliza MAELEZO PODCASTS— Tupo kwenye audio channels zote 📌
 
Back
Top Bottom