Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,047
- 843
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ameeleza mpango wa kuwekwa huduma ya Internet bure katika Shule na Vyuo vote nchini Tanzania kwa ushirikiano na kampuni ya Viatel. Katika kipindi cha awamu ya sita, serikali kupitia miradi kama Tanzania kidijitali inahakikisha fursa ya teknolojia inamfikia kila mtanzania, hivi karibuni kupitia UCSAF serikali ilitoa ruzuku Bilioni 126 kujenga minara 758 vijijini.