Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuandika kuwa baadhi ya Wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule ya Msingi Mitundu B katika Halmashauri ya Itigi DC wanasoma hadi usiku bila kula, hali inayoweza...
1 Reactions
1 Replies
127 Views
Hivi jamani, mzazi mzima mwenye akili zako timamu, unajua kabisa binti yako anatoka nyumbani saa nne ya usiku amepigilia pamba za kikahaba, amejifunga kanga yake juu kuzuia macho ya majirani na...
10 Reactions
61 Replies
909 Views
Huu siyo unabii ila ni uhalisia, ni jambo ambalo limeshafanyika katika mawanda ya kiroho. Mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe atakuwa na nafasi ya kipekee sana katika uamsho huu. Sina shaka...
2 Reactions
16 Replies
265 Views
Mawakili wa familia ya marehemu Askofu Dr. Gertrude Pangalile Rwakatare na Kampuni ya St. Mary’s International Academy Limited, wakiongozwa na Wakili Derick Paschal, wamejitokeza na kukanusha...
2 Reactions
0 Replies
128 Views
Mkuu wa Idara ya Chapa na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Yvonne Maruma akizungumza katika Wiki ya Ubunifu Tanzania 2026 ambapo alizungumzia namna ya Vodacom inavyounganisha Watanzania na kuleta...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
🔺Ni ili Mwaka wa Fedha 2028/2029 kila kaya iwe na bima 🔸Maoni ya wadau tayari, kifuatacho kubadili sheria NHIF 🔹Hakuna ubaguzi, kaya masikini nchi nzima kugharamiwa Kazi Na Utu Tunasongambele
0 Reactions
1 Replies
49 Views
Je ulishawahi kuliona ama kulitafakari hili kama alivyofanya Manyanza !? Ofisi kubwa na za kisasa huweka maua ya asili kama mkakati wa kisayansi wa kusafisha hewa maeneo ya kazi. Mimea hii...
11 Reactions
14 Replies
342 Views
WATIBELI TUNARUHUSIWA KULALA UKWENI. HATUNA HUO MWIKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Zipo jamii au makundi ya watu ambayo kwao ni mwiko kulala Ukweni. Kwao ni jambo aibu. Mila hiyo...
1 Reactions
18 Replies
205 Views
Mamia ya wananchi wamejitokeza kupata huduma katika Kambi Maalum ya Matibabu ya Macho inayoendeshwa na madaktari bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)kwa kushirikiana na Serikali ya...
0 Reactions
2 Replies
82 Views
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence George, ameeleza bungeni leo Septemba 2, 2026 kuwa serikali inaendelea kusimamia kikamilifu utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote ili kuhakikisha kila mwananchi...
1 Reactions
2 Replies
121 Views
👇🏻 Kuogelea ni burudani nzuri, lakini maji yanaweza kuwa hatari usipochukua tahadhari. Kwa usalama wako, zingatia haya: 1️⃣ Usiogelee sehemu usiyoijua kina chake au ambayo haijaandaliwa kwa...
6 Reactions
23 Replies
371 Views
Habari za wakati Wadau wa JF.... Kutokana na namna vyombo vya habari vimekuwa vinafanya kazi nchini kwetu kuna namna nikiwa chuoni niliwahi kujutia kwanini niliamua Kusoma Course hii Na kabla ya...
1 Reactions
4 Replies
66 Views
Yeah, naona watu ni kama hawapendi kuzungumzia habari ya kweli kabisa kuwa , binadamu hapo zamani alikuwa na mkia wa nyuma. Sijui tunakwama wapi, unakuta mwalimu wa sayansi anapofundisha...
7 Reactions
106 Replies
597 Views
Ukweli usemwe Tu, Mimi sio muumini wa kuzaa watoto wengi wanaozidi Uwezo wa kuwatunza na kuwalea. Nimekuwa Wakili( Advocate) wa kuzaa kwa mpangilio na kuhimizia familia kuhakikisha wanafanya kazi...
3 Reactions
6 Replies
118 Views
LEO KATIKA KUMBUKUMBU 2 Septemba 2023 — kuzinduliwa kwa PAPU Tower Arusha Rais Mhe Dr. Samia Suluhu Hassan alizindua rasmi Jengo la Makao Makuu ya Umoja wa Posta Afrika (PAPU Tower), lililopo...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
"Mhe. Naibu Spika, Naomba kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuiongoza nchi yetu kwa Umahiri, Mafanikio...
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!! Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini) Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya...
15 Reactions
74 Replies
839 Views
  • Redirect
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za bidhaa za mafuta kwa mwezi Septemba 2026. Bei ya petroli imeshuka kwa Shilingi 102 kwa lita, huku bei ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
Back
Top Bottom