Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,963
- 6,693
Katika kutekeleza majukumu kwa mujibu wa Sheria, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kufuatilia mwenendo wa bei za mafuta katika soko la dunia ambapo bei hizo zimekuwa na mabadiliko ya mara kwa mara kutokana na vita inayoendelea eneo la Mashariki ya Kati.
Katika mwezi Septemba 2026, bei za mafuta nchini zimeshuka kwa Shilingi 102 kwa lita ya petroli na Shilingi 101 kwa lita ya dizeli. Hii ni kutokana na hatua mbalimbali ambazo Selikali imezichukua ili kuwa na bei himilivu za mafuta hapa nchini.E
WURA inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 02 Septemba 2026 saa 6:01 usiku. Kwa mwezi Septemba 2026, bei za rejareja na jumla katika Mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama zinavyoonekana katika Jedwali Na. 1 na 2, mtawalia.
Soma Pia: EWURA yashusha Bei za Mafuta : Petroli Imeshuka Tsh 92, Dizeli Tsh 204 na Mafuta ya Taa Tsh 440