Hongera mheshimiwa na Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi nzuri unayoifanya ya kutumbua majipu. Endelea na mwendo huohuo mpaka sisi wanyonge tupate walau kuonja keki ya Taifa...
Nataka kujua kama ni sahihi kwa suppermaket kukosa Risiti za TRA.
Mimi ninavyojua hizi risiti za daftari zina udanganyifu mkubwa sana. Hebu TRA fuatilieni hili.
Hebu mtujuze mliopo karibu na barabara ya mwendo kasi kinondoni,nasikia mabasi yakiendelea na kutestiwa,gari ndogo imegongwa katika eneo hilo, na kusababisha vifo. ..
Tafadhari mwenye taarifa kamili..
Taarifa kamili hazijathibitika madhara na mali zilizo haribiwa kutokana na mvua iliyoambatana na upepo na radi kuharibu nyumba kadhaa na mifugo huko Mziha wilayani Mvomero usiku wa kuamkia leo...
Wanajukwaa, kuna habari ambazo bado sijapata uthibitisho wake kwamba kuna ajali mbaya imetokea mteremko wa mlima wa Iringa mjini kwenda Ipogolo. Inasemekana basi la kutoka Mwanza, Lupondije Bus...
Japo ukawa wanajisifu kushinda uchaguzi lakini hadi sasa hakuna mabadiliko yoyote.
Nadhani mayor wa kinondoni aachane na majigambo yasiyo na maana badala yake tuone mipango uliyo nayo.
Sijaona...
Kumekuwa na Sitofahamu mitandaoni zikienea kuwa mastaa hawa mapacha sasa wametengana kila mtu kuamua kuimba mziki kivyake. Hebu wenye taarifa sahihi ni wakati wa kutiririkaaa..
Leo nilienda kumsindikiza jamaa yangu kwenye hotel moja hapa Dodoma njiani kuelekea Singida.Sehemu hiyo jina sijalishika lakini abiria wa mabasi hupata huduma mbali mbali kama chakula,vinywaji na...
Benki ya CRDB tawi la Mbagala imevamiwa na majambazi,Mbagala hakuendeki mpaka muda huu polisi imeizingira benki majambazi yapo ndani ya benki, kujisalimisha hayataki.
likua Mfumo unaochukiza sana na bahati mbaya sana watu wamelipishwa pesa cha ajabu ile system ilikua inafanyakazi kipindi cha mchana ,asubuhi na jioni traffic wapo pale wakiondoka hasa usiku...
Habari zenu wana JamiiForums,
Taarifa zisizo rasmi kutoka vyanzo vyangu mbalimbali vimeeleza kuwa MKUU WA NCHI DR RAIS JPM ameiagiza TAMISEMI kufanya uhakiki wa watumishi wa umma Tanzania nzima...
This comes from someone
Who works in the breast cancer unit at Mt. Sinai Hospital , in Toronto ..
From: Dr. Nahid Neman
If there is a female you care anything about..,Share this with her...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.