Nyanya mbichi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 3,716
- 2,215
likua Mfumo unaochukiza sana na bahati mbaya sana watu wamelipishwa pesa cha ajabu ile system ilikua inafanyakazi kipindi cha mchana ,asubuhi na jioni traffic wapo pale wakiondoka hasa usiku madereva waliendelea na Mfumo wa zamani wa kutozunguka mpaka kwa Shekh Yahya,nimejaribu kufuatilia nimeona sasa Kama umefail kabisa!
Ndio basi tena au?
Ndio basi tena au?