zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Habari zenu wana JamiiForums,
Taarifa zisizo rasmi kutoka vyanzo vyangu mbalimbali vimeeleza kuwa MKUU WA NCHI DR RAIS JPM ameiagiza TAMISEMI kufanya uhakiki wa watumishi wa umma Tanzania nzima na mpaka sasa mkoa wa Singida upo kwenye mchakato huu.
Niwakumbushe wakiwa wanaendelea huko kwenye hizo halmashauri waanze na kwenye mashirika ya UMMA,kwa mfano kuna shirika moja lime waajiri watu zaidi 20 kwa mkataba lakini hawakatwi makato ya mifuko ya jamii ni miaka 2 sasa sijui sheria inasemaje kwenye hili.
zubedayo_mchuzi, mzee wa kutembea umbali mrefu