Tetesi: Jengo la Iyunga secondary linaungua moto

Duh...!! Tatizo watoto wa technical utundu mwingi....!Nasikia hadi bweni la Mkapa washalikaanga.
 
Nimepata Taarifa ni kweli mabweni matatu yameungua, chanzo cha moto ni umeme.
 
Back
Top Bottom