Watengane tu tujue Nani mkali. Walitengana wenge music bcbg ambao mimi nilikuwa shabiki wao na hadi nikafuata show yao Kishansha Lkn kwa sasa Werra na JB wako fresh kila mtu akiwa yuko juu kimziki na wana urafiki hadi wa kualikana kwenye matamasha. Mziki wenyewe huo wa hao vijana sijui huwa mnaenda kuangalia boxer ama nini!!!Kumekuwa na Sitofahamu mitandaoni zikienea kuwa mastaa hawa mapacha sasa wametengana kila mtu kuamua kuimba mziki kivyake. Hebu wenye taarifa sahihi ni wakati wa kutiririkaaa..
Mkuu umeharibu hapo mwishon boxer tenaaaaaaWatengane tu tujue Nani mkali. Walitengana wenge music bcbg ambao mimi nilikuwa shabiki wao na hadi nikafuata show yao Kishansha Lkn kwa sasa Werra na JB wako fresh kila mtu akiwa yuko juu kimziki na wana urafiki hadi wa kualikana kwenye matamasha. Mziki wenyewe huo wa hao vijana sijui huwa mnaenda kuangalia boxer ama nini!!!