Tetesi: Nasikia Mt.Kenya ipo Arusha Tanzania

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,896
43,795
Kuna fununu nimezisika katika siku za karibuni kuwa mlima Kenya upo Arusha Kaskazini. Kuna Mwenye udhibitisho Wa hilo?
 
Hawa wakenya naona wanataka kutupanda kichwani sasa. Siku si nyingi utasikia hata magufuli ni wao.
 
Mhh!, mara tutasikia "MKE wangu anaishi ndani ya NYUMBA YAKO!!" hapo sasa ndpo maswali hayataruhusiwa kuwepo
 
Back
Top Bottom