Tetesi: Benki ya CRDB yanusurika kuporwa

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,751
9,001
Benki ya CRDB tawi la Mbagala imevamiwa na majambazi,Mbagala hakuendeki mpaka muda huu polisi imeizingira benki majambazi yapo ndani ya benki, kujisalimisha hayataki.
 
Hapo umakini mkubwa unahtajika vinginevyo kuna uwezekano mkubwa wa kuteketeza raia na pesa yote iliyopo ndani.
 
Imevamiwa sa ngap make me nmetoka mbagala mda sio mrefu.. cjaona dalili yoyote ya tofauti
 
Uhalifu umekuwa hatarious sana aisee hafu si ajabu hayo majambazo yaue watu wasio na hatia
 
Back
Top Bottom