kibanga mkolon
Member
- Mar 1, 2016
- 49
- 13
Wafanyakazi kiwanda cha Kahawa Moshi wagoma kwasababu hawajalipwa mishahara ya miezi nane.
Hawajalipwa mishahara ya miezi nane
Hawajalipwa mishahara ya miezi nane
Mkuu unashangaa hiyo?? Mbona sehemu nyingi ni kawaida??duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh miezi nane no mshahara huu kama uongo vile unakula nini
Kinaitwaje hicho kiwanda??Wafanyakazi kiwanda cha Kahawa Moshi wagoma
Mkuu unashangaa hiyo?? Mbona sehemu nyingi ni kawaida??