Hakika mwili wa mwanamke unaweza kua wa kuvutia sana January na kufika December ukawa unachukiza kutokana na kunenepa kwa maeneo kadha
mimi nilidhani ni tumbo pekee linavuruga muonekano ila...
Maeneo ambayo mnaona ni ya hatari sana Watanzania tunayajua. Tunayajua maeneo yenye historia ya mafuriko. Ni vyema tukaanza kuchukua tahadhari kwa sababu hicho ndicho tunachoweza kukifanya-Waziri...
Ndani ya mwezi huu huu, muwe mmeshatangaza kupata mkandarasi wa kuanza kujenga hizi kilomita 11 za awali ambazo zitaziba hili pengo kuanzia hapa mpaka kwenye lami na kupita kidogo mji wa...
Heshima yenu wakubwa kwa wadogo.
Nimekuwa mdau wa ku view threads humu bila ku login.
Hili ni chapisho langu la kwanza tangu nijiunge humu kitambo nikiwa O-level, na kwa sasa bado sijafikisha...
Mimi ni mtoto wa mzee huyu mwenye miaka 90, na nimeamua kuleta suala hili hapa baada ya kuona baba yangu amechoka na kuteseka kutokana na mgogoro wa eneo lake.
Kwa mujibu wa nyaraka tulizonazo...
Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Exim Tanzania Stanley Kafu (wa pili kulia) wakipeana mikono na Diwani wa Kata ya Kawe Mheshimiwa Fabian Malima (katikati) baada ya kukabidhi...
Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...!
1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂
2...
Hellow wa JF.
Naona kuna taarifa nyingi zinasamba za kutunza chakula ili kujikinga na njaa wakati wa Mvua za El Niño.
Naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni...
Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mufindi ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Dkt. Linda Salekwa imekamata Pombe kali zinazotengenezwa kinyume na utaratibu katika eneo la Mtaa wa Pipeline Mjini...
Wanajiita International humanitarian promotions number wanao tumia ni ya code ya Kenya 254, wanapitia whasup, wakipata access ya simu yako wana idukua na kupata details nyingi kuhusu hata bank...
Baada ya kukaa foleni masaa mawili pale ubungo mataa ninaomba kujua yafuatayo.
Ni hasara kiasi gani tumepata kama Taifa katika kipindi cha miaka kumi mpaka Leo kutokana na foleni hizi...
Habari ndugu!
Nimeleta uzi huu ili uliunganishe jamii ya watanzania ambao wameathirika na uraibu wa kamari na wanaoazimia kuachana na uraibu huu.
Kamari/kubeti ni moja ya janga linaloangamiza...
Moyo wangu unahisi kuna mtu anamendewa mazingira hayo na lolote laweza tokea....sina imani kabisa na haya magari ingawaje gari yoyote yaweza tumika kufanya unyama
Ndugu Wananchi wenzangu wanaoumia,
Nimesimama mbele yenu kusema ukweli mchungu unaofichwa kwa nguvu nyuma ya propaganda za kisiasa.
Taifa letu haliongozwi tena kwa misingi ya sheria wala Katiba...
Ukiingia WhatsApp Channels, Meta wana mkakati wa makusudi wa kupendekeza channels za ajabu kwa watanzania.
Hiki kitu ni cha makusudi kabisa lakini TCRA na mamlaka za Serikali wako kimya.
Wao...
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa mrejesho zaidi kuhusu mtuhumiwa inayesemekaa ni Dereva Bodaboda anayedaiwa kumfanyia ukatili wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.