Habari zilizonifikia , zinasema mwana mitandao na mfanyabiashara Mariam Uswazi anashikiliwa na Jeshi la Polisi Kituo cha Kati (Central), huku wadeni wake wakifika kituoni hapo kufuatilia hatma ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Shilingi Bilioni 13 kutumika...
Kuna kanisa linaitwa Gabola Church maana yake ni God bless the drinker.Ni kanisa ambalo wanasema lengo Lao ni kuwapa huduma ya kiroho watu wanaokunywa pombe waliotengwa.
Ndani kuna bar pombe zote...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Diwani wa Kata Myamba wilaya ya Same, Greyson Kyondo Fue (42), kwa tuhuma za kuendesha gari kwa uzembe na kumgonga mwendesha pikipiki maarufu kama...
Kitimoto ndizi na pepsi au cocacola,kitimoto na safari,kilimanjaro au serengeti zote,chips yai kuku,miskaki na pepsi,coca mchanganyiko huu ukigoma kukupa muonekano wa ziada basi ARV na dawa za...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Shilingi Bilioni 13 kutumika...
(ondoa waliofiwa na labda waliofungwa magerezan au kutekwa)
Unawezaje kuzaa na mtu ambaye hayuko tayari kuishi na wew??wanawake wanaipenda kujiamulia mambo halaf wa kwanza kulaumu mtu huna...
Ofcourse huyo budha akisha kula kilambo huwa anakoroga mafile sana so chochote anachokiandika siku za weekend mostly furahiDEi msikichukilie seriously chukueni machache mengine achane hapo...
Tanganyika na barani Afrika kwa ujumla, mizozo ya kifamilia pale mhimili wa nyumba anapoaga dunia imekuwa kama jambo la kawaida na la kuzoeleka.
Mara nyingi tunashuhudia ndugu wa damu...
Nimeyaona sehemu yapo Kwa wingi. Nahitaji mtu aliye serious na uhakika tutete naye.
Ni hayo mekundu hako kengine kana mng'ao sana zaidi ya shaba na ulanga.
Mimi nimebobea kwenye dhahabu na shaba...
Kwa sisi wenye kuleta mada fikirishi, na kwa faida ya member ambao wanahitaji wa kupata suluhu ya jambo, au kupata like minds, ambao wanaweza kujadili vitu kwa mapana. Inaweza hata kuwa mwanzo wa...
Sasa hawa Wafia Dini wa hizi Dini mbili kongwe wanavyopigana kumbe muhusika Mungu mwenyewe hana Dini na hawa wanasiasa wanaojinasibisha na Mungu kumbe wala haya hayupo huko na Mungu hapiganiwi...
Mdogo wangu wa darasa la tatu amefanyiwa ukatili wa kuingiliwa mbele na nyuma na mtu ambaye kwa sasa yupo nje kwa dhamana na tunaona dalili ya kutotendewa haki kutoka kwa mamlaka zinazohusika...
Habari wanajukwaa.
Nimekuwa nikisikia hii kauli mara nyingi kuwa walimu hawazeeki tena wanasema hasa wa shule ya msingi, kwa sehemu mimi pia nilikuwa naiamini ila nadhani haina ukweli. Nitaelezea...
Hapa kijijini kuna mfugaji yupo juu ya sheria na kijiji kinaonekana kimeshindwa kumdhibiti, sheria ya kijiji cha bonye inamtaka kila mmiliki wa ng’ombe asizidishe ng’ombe zaidi ya 10 , jambo la...
Mara baada ya kusoma kwa umakini mkubwa sana uzi unaohusu kuita jini na kulitumia vile ambavyo unataka nilitokea kuvutiwa sana na ule uzi. nikawaza sana kwamba kama nikifanikiwa kumiliki ata...
UPANUZI NA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM MAMBO YAZIDI KUNOGA
UJENZI WA MATENKI YA KUPOKEA NA KUHIFADHI MAFUTA WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 52.
Mradi huu Utagharimu kiasi cha Shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.