Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Imetimia miaka 9 leo tangu TUNDU ANTIPASS MUGWAI LISSU achakazwe na risasi pale Dodoma ndani ya majengo ya viongozi wa bunge yenye ulinzi masaa 24. Leo yupo mahakamani kutetea uhai wake kwa mara...
3 Reactions
– Replies
– Views
Mazingira ya kutoroka kwa David Joseph Mghanja (Djumbe), msaidizi wa karibu wa Tundu Lissu, usiku wa Mei 20, 2026, yamevuka mipaka ya akili ya kibinadamu. Wengi wanajiuliza: Je, kuna nguvu gani...
20 Reactions
41 Replies
730 Views
Kuna huyu jamaa alikua pale abood fm na ss yuko EFM redio, jamaa akiwa ktk kipindi Chake anaikebehi sana simba na kusema kila kitu ni kibaya, kwani changamoto yake ni nini uyu mchambuzi?
0 Reactions
0 Replies
45 Views
MREMBO JENNIFER MULFORD kutoka ATLANTA, MAREKANI, ameibua maoni mseto mitandaoni baada ya kuripotiwa kuacha kazi yake ili apate muda mrefu wa kumnyonyesha mpenzi wake mwenye umri wa miaka 36...
5 Reactions
10 Replies
325 Views
Kuna msemo kwamba "don't judge book by its cover" Sawa na usimhukumu mtu kwa mwonekano wake; Kisaikolojia sivyo wanadamu wanacyofanya kazi. Kama mtu humjui na hujapata nafasi ya kuongea naye...
2 Reactions
6 Replies
94 Views
Mungu alimpa bikira, sio mama wa watoto wa tatu
1 Reactions
2 Replies
44 Views
Haya yote ni kutokana na kuathrika na kuangalia porno toka utotoni, nikajikuta kuwaona wadada wenye makebo makubwa ni viungo vya starehe na sio watu wa kawaida Niliwafanya kila namna, niliwageuza...
9 Reactions
86 Replies
882 Views
Wanabodi Je wajua kuna aina mbili za Malaika na Shetani?. Kuna Malaika wa Mbinguni ambao ni pepo na kuna malaika wa duniani ambao ni watu ni binadamu, na kuna ma shetani wa motoni ambao ni mapepo...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Haya mambo yapo kwenye jamii zetu
7 Reactions
46 Replies
802 Views
Sheikh Nurdin Kishki, kutoka Taasisi ya Al-Hikma, amefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Juma Ibrahim, maarufu kama Ostadh Juma na Musoma, akidai kuchafuliwa jina lake...
2 Reactions
5 Replies
203 Views
Nmerudi kutoka likizo nimekuta mwenye nyumba kampangisha mpangaji mwingne mpya. Aisee siku 2 tu nimekaa hapa nmeshindwa kuvumilia makelele, nmemwambia mwenye nyumba anirudishie kodi nihame au...
11 Reactions
58 Replies
968 Views
Kidemeni ni miongoni mwa vijiji vinavyopatikana katika Wilaya ya Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba, wananchi wake wana kilio cha kutokuwepo kwa barabara ya uhakika, hivyo kudai inachangia kudumaza...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Ajali mbaya ya ndege ya mizigo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami watu watano wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya ndege ya mizigo ya Amazon Prime Air kutua katika...
2 Reactions
0 Replies
104 Views
habari serikali tusaidiane jamani tutapata majanga njoeni mbadili hili kalavati ni dogo maji ni mengi yanayopita eneo hili mvua ikinyeshaga ndogo tu maji yanajaa kwenye nyumba za watu sasa...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Katika ulimwengu wa sasa wa mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook, imekuwa kawaida kukutana na maombi ya urafiki (friend requests) au watu wanaotaka kukufuata (follow requests) kutoka kwa...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso amekuwa na wakati mwema wa kukata keki pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete nyumbani kwake hapa New York Marekani. NB. Watanzania...
47 Reactions
292 Replies
30K Views
Ndege moja ya mizigo ya Amazon Prime Air imepata ajali na kushika moto baada ya kupitiliza barabara ya kutulia (runway) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami, Jumapili hii mchana (usiku wa...
2 Reactions
2 Replies
120 Views
Wakuu salama, Kuna changamoto inamkabili ndugu yangu mmoja hapa naomba mniongezee mwanga au kama kuna mtu amewahi kukutana nayo atupe uzoefu wake. Huyu ndugu yangu wakati anaajiriwa na kusajiliwa...
5 Reactions
48 Replies
499 Views
Anonymous
Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Back
Top Bottom