Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

DALILI 5 ZINAZOASHIRIA UWEPO WA NGUVU ZA GIZA KATIKA NYUMBA UNAYOISHI 1)MALUMBANO YA MARA KWA MARA Vikosa vidogo vidogo kutokuelewana au kupishana kauli kidogo tu,inakuzwa inakuwa ni mzozo mkubwa...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Hapo VIP! Hili swali huwa sipendi ambao Wachaga wengi wanapenda kuiliza. Eti Wewe ni kabila gani? Hawa jamaa wanamambo ya Kipuuzi sana..nadhani kwasababu wanaukabila sana ndio maana wanapenda...
21 Reactions
127 Replies
1K Views
Watu wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Mallesa walilokuwa wakisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda mkoani Geita kugongana na lori la mizigo katika Kijiji cha Rumasa, Wilaya ya...
1 Reactions
5 Replies
375 Views
Kwa huu uchumi wetu wa "UPIGANIZATION" unatakiwa uChape ilale. Chapa kabisaaaaa mwana waneee Ichape kama kesho haipo Muda wa kumpuzika iwe kifo chako maana maisha hayana thamani tena...
1 Reactions
3 Replies
45 Views
Kuna mdau mlokole mwenzangu nimekuta amesambaza lalamiko hili kule facebook, limenichoma sana. Nitahighlight maeneo ambayo nimeona kuna ukweli mzito. ANASEMA HIVI; 1. Kwanza kabisa, napenda...
2 Reactions
53 Replies
2K Views
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza kuwa jumla ya watahiniwa 1,168,649 waliosajiliwa kutoka katika shule za msingi 20,019 nchini watashiriki katika Mtihani wa Kumaliza Elimu ya...
2 Reactions
6 Replies
352 Views
Inawezekana unatamani sana kutumia simu yako ku scan kwenye mashine mbalimbali za ku scan Kadi ili kupunguza kutembea tembea na Kadi kwenye wallet yako sio 👋. Kadi yako inaweza kuwa na mfumo wa...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
  • Redirect
Baraza la mitihani la Tanzania-NECTA limetangaza kuanza kwa mtihani wa kumaliza elimu ya msinga utakaofanyika September 9 hadi 10, 2026 ambapo watahiniwa milioni 1 na 168 elfu 649 wamesajiliwa...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mascot ni mavazi yenye umbo mbalimbali yanayovaliwa hili kuleta uchachu wa shughuli fulani. Mfano wa mascots ni hizo chini Au hii Mimi natamani zile kamati za hamasa na vikundi vya...
2 Reactions
5 Replies
109 Views
Naskia Kuna mandonga mpya mitaa ya MWENGE kanikanyagia mtu uko,watu mapenda kujiamulia mambo😂😂😂😂
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Anonymous
Wananchi wa Bunju A, Mji Mpya na Kinondo tusikilizwe kilio chetu ili Wizara husika ituletee daladala katika njia hii, maana tunapata tabu sana ya usafiri. Kutoka Bunju A hadi barabarani kwa...
1 Reactions
0 Replies
112 Views
Mwanaume unaishi na mwanamke kimapenzi, mara baada tu ya kuingia chuo kikuu kutoka kwenu Ushetu. Mwanaume , huyo mwanamke akifa ukiwa naye anazikwa kwao, maana si mkeo bali ni mzinzi mweznio...
0 Reactions
4 Replies
108 Views
Anonymous
Mi ni mtumishi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili – Mloganzila (Dar es Salaam), moja ya changamoto ninayokutana nayo ni suala la viwango vya posho tunazolipwa, baadhi ya taasisi za Serikali...
1 Reactions
0 Replies
56 Views
Anonymous
Abiria wa gari za Muhimbili to Mwandege zimebaki gari chache sana, nyingi zimehama, tunawaomba LATRA watusaidie Wananchi, tunapata tabu sana na kupanda gari mbilimbili kipato chetu kidogo. Sababu...
0 Reactions
0 Replies
33 Views
Habari Pasipo kupoteza muda, Hii elimu huwezi kuambiwa popote darasani, lakini kutokana na kazi zangu za kiufundi mimi Fundi SAMICO nimejifunza mambo mengi mno kuhusu hii dunia. Wakati dunia...
24 Reactions
93 Replies
8K Views
Hali ya usafi katika maeneo mbalimbali ya Mbezi Mwisho, jijini Dar es Salaam, imekuwa ikilalamikiwa kutokana na watu kukojoa hovyo katika maeneo ya wazi, hali inayosababisha harufu kali ya mkojo...
1 Reactions
6 Replies
149 Views
Ina maana hakuna safari za moja kwa moja tokea tanzania kwenda ulaya au usa na nimeona watanzania baadhi wakitaka kwenda ulaya ndege wanaenda pandia kenya na si hapa tanzania (SHIDA IPO WAPI?)
2 Reactions
9 Replies
208 Views
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemteua Mhandisi Leonard Msenyele kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). Mhe. Aweso amefanya uteuzi huo...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Hutu twa hivi ndio mambo yangu . Haka unakakula zile style za kubembeleza mtoto. Tena vinakuaga na nyapu tamu Tena mgando balaaa.
2 Reactions
11 Replies
369 Views
Back
Top Bottom