Dr mamboleo
New Member
- Apr 5, 2016
- 4
- 4
Samahani wakuu, naomba msaada kufahamu cheo cha anayeitwa Mwaipopo katika nchi hii. Naona anapewa mileage sana na media. Nawasilisha.
Huyu ni kiongozi wa kikundi cha wanamgambo wa CCMSamahani wakuu naomba msaada kufahamu cheo Cha anayeitwa mwaipopo nchi hii, naona anapewa millage sana naedia , nawasilisha
THE BIG SHOWanayeitwa
Kwa kujibu wa ccm Bila Shaka ni msemaji wao mpyaSamahani wakuu naomba msaada kufahamu cheo Cha anayeitwa mwaipopo nchi hii, naona anapewa millage sana naedia , nawasilisha
Ngoja waje wanaojua cuz nataka kujua pia .
Ninachojua wanasema ni sheikh na ni mnyakyusa mstaafu.