RC Chacha ameonesha Ushamba na Ufala katika hili.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,615
Reaction score
32,108
Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police?

Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala isingempunguzia kitu. Hawa viongozi wanapoteza muda wa watu kukaa kuzungumzia mambo personal ya kipumbavu ambayo hayahitaji hata certificate ku deal nayo.

Wapo watu wana tatizo la afya ya akili tu kama huyo dada wala hakukuwa na haja ya kumdhalilisha namna hii. Huo ni ufala pengine yeye anaona ndo ataonekana mwadilifu kwa kitendo hiki.

Screenshot_2026-09-08-06-19-01-286_com.instagram.android~2.jpg
 
View attachment 3665529
ok.🐒
 
Ni aliyekuwa kumbe...kwa sasa ni nani na yuko wapi?!Maana nilikoma kumfuatilia baada ya kujiingiza kwenye dili feki la kumchafua HECHE..na hata PR yake ilichuja kwa kasi tangu sakata hilo..
.Ndiyo ameona atoke ki hivi tena...siyo!!!?
 
Ha ha RC hataki mtongozo, Hebu tuma hiyo picha ya huyo Sophia.
 
Huyu ni fala kweli,Tena mkulima mshamba, Saba Saba
 
Hivi vyeo wangekuwa wanafanyiwa usaili, wangekuwa muda mwingi wanautumia kwa kudeal na issues za kutatua matatizo ya watu,ila kwasababu wanapewa pewa tu,ndiyo maana anakuwa na muda wa kufanya nakudeal na vitu vya kijinga jinga
 
Ni aliyekuwa kumbe...kwa sasa ni nani na yuko wapi?!Maana nilikoma kumfuatilia baada ya kujiingiza kwenye dili feki la kumchafua HECHE..na hata PR yake ilichuja kwa kasi tangu sakata hilo..
.Ndiyo ameona atoke ki hivi tena...siyo!!!?
Yupo makuu kuu ya CCM sijui ni mkurugenzi wa nini
 
Huyu RC kabisa anakaa kuongelea suala la kipuuzi kama hili kwenye kusanyiko la watu? Kutongozwa na mwanamke anaona ni big deal na hadi kushirikisha police?

Watu wenye akili wanamtizama na kuona ana utoto na ufala tu. Angeweza mblock huyo mwanamke na maisha yakaendelea. Au angemu ignore tu wala isingempunguzia kitu. Hawa viongozi wanapoteza muda wa watu kukaa kuzungumzia mambo personal ya kipumbavu ambayo hayahitaji hata certificate ku deal nayo.

Wapo watu wana tatizo la afya ya akili tu kama huyo dada wala hakukuwa na haja ya kumdhalilisha namna hii. Huo ni ufala pengine yeye anaona ndo ataonekana mwadilifu kwa kitendo hiki.

View attachment 3665529
Huyo Rc atakuwa shoga, Sasa kutongozwa na mwanamke ni jambo la kuvalia njuga mpaka kupeleka mtu polisi?
Angempotezea tu mbona mambo mengine simple tu
 
Au alihisi ni mtego yaje yamkute ya aliyekuwa RC Simiyu,Dr Nawanda na binti wa SAUT.

NB:Hata mwanaume ukikataliwa acha usumbufu,futa na namba.
Nje ya box umewaza mkuu.
Ila ilikuwa simple tu amkatae na siyo mpaka inshu za kupelekana Polis
 
Ni aliyekuwa kumbe...kwa sasa ni nani na yuko wapi?!Maana nilikoma kumfuatilia baada ya kujiingiza kwenye dili feki la kumchafua HECHE..na hata PR yake ilichuja kwa kasi tangu sakata hilo..
.Ndiyo ameona atoke ki hivi tena...siyo!!!?
Kwakweli huyo jamaa nimemdharau Sana. 👎
 
Back
Top Bottom