Usiruhusu Shida Kuungana Dhidi Yako

Usiruhusu Shida Kuungana Dhidi Yako

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
714
Reaction score
636
"Usifanye kosa la kuruhusu shida ziungane dhidi yako, hakikisha shida haziwi na umoja, zifitinishe, zigonganishe na zichanganye kiasi kwamba badala ya kuhangaika na wewe zihangaishane zenyewe kwa zenyewe ili wewe upate muda wa kufurahia maisha katikati ya shida moja na ingine."
 
🤝💪
 
😂😂 Hii ni falsafa ya “divide and rule” hata kwa shida zako. Ila kuna tatizo moja: ukizifitinisha sana, unaweza kujikuta umeanzisha vita ya ndani na wewe ndiye uwanja wa mapambano. 😂

Bora zaidi ni kutatua shida moja baada ya nyingine, kuzipa kipaumbele na kutoruhusu zote zikukalie kichwani kwa wakati mmoja. Maisha yana changamoto nyingi; akili ya ushindi si kuzifitinisha, bali kujua ipi uishughulikie leo na ipi isubiri kesho.
 
"Usifanye kosa la kuruhusu shida ziungane dhidi yako, hakikisha shida haziwi na umoja, zifitinishe, zigonganishe na zichanganye kiasi kwamba badala ya kuhangaika na wewe zihangaishane zenyewe kwa zenyewe ili wewe upate muda wa kufurahia maisha katikati ya shida moja na ingine."

Kosa moja la mwanadamu ni kuyakumbatia matatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom