Mjue Vickie Makani (Mrs. Bob Makani) aliyehitimu shahada akiwa na miaka 74

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
3,415
5,657
5FB7EE45-2104-4F52-BE72-04B41428A149.jpeg


Vickie Ambwene Joab Kakuyu Makani amehitimu masomo yake katika chuo cha Tumaini kampas ya Dar Es Salaam akiwa na miaka 74.

Huyu ni mke wa hayati Bob Makani na pia mama yake Grace Makani Tarimo, Tume Anthony Makani, Dr. Julie Makani Simba na Richard Kakuyu Makani.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom