Ati, "inategemea". 🤮

Ati, "inategemea". 🤮

Wakuu, nisaidieni huenda uzee unanisumbua!

Mtu unamuuliza kitu badaya ya kukupa jibu anakuambia, "inategemea". 🤮

Leo mchana binti yangu wa form four nilimwambia, huendi kunyoa nywele?

Badala ya kunijibu ndiyo au hapana, yeye akanijibu, "inategemea". 🤮🤮🤮

Nilichoka baba yenu.

eron,
Grahams.
eeh itategemea kana hajapata hela je? kana kazi zitakua nyingi akakosa muda? au umeme ukikatika😀😀
 
Wakuu, nisaidieni huenda uzee unanisumbua!

Mtu unamuuliza kitu badaya ya kukupa jibu anakuambia, "inategemea". 🤮

Leo mchana binti yangu wa form four nilimwambia, huendi kunyoa nywele?

Badala ya kunijibu ndiyo au hapana, yeye akanijibu, "inategemea". 🤮🤮🤮

Nilichoka baba yenu.

eron,
Grahams.
Maisha ni kusaidiana.Ungeenda unyoe badala yake.
NB;Bangi itumike kwenye kahawa tu.
 
Wakuu, nisaidieni huenda uzee unanisumbua!

Mtu unamuuliza kitu badaya ya kukupa jibu anakuambia, "inategemea". 🤮

Leo mchana binti yangu wa form four nilimwambia, huendi kunyoa nywele?

Badala ya kunijibu ndiyo au hapana, yeye akanijibu, "inategemea". 🤮🤮🤮

Nilichoka baba yenu.

eron,
Grahams.

Ww ndio unafanya hadi mume mwenzio Elevenn aone greti thinka wameisha.

Hivi hii si hata facebook huwez kupost.
 
Kivipi tena mimi ni mume mwenza?
Jana kuna mtu kapost screenshot kwamba anaona PM za watu. Na moja ya zile Screenshot Mume mwenzio 11 na Profile Picture yake inaonekana.
Ameanza na Neno kuwa "Seran , achana na yule bwege ndege.... " ikaishia hapo. Ila ilikuwa inaendelea.

Kama hukuiona, basi Mwenye nayo ataiweka uione.

Ila Mume mwenzio anakasagia kunguni balaa.
NB: Natania.
ila screenshot iko ya Yeye 11 akikusagia kunguni.
 
Ngoja nifute. Haya maneno sio ya kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom