Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

LEO KATIKA KUMBUKUMBU 9 Septemba 2022 — Kusaini Kitabu cha Maombolezo cha Malkia Elizabeth II Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II...
1 Reactions
5 Replies
121 Views
My Take El Nino sio mzaha ,kama wanaojiita wahandisi wa Dunia wamesambaratishwa hivyo huku kwetu tuanze kutia maji. https://www.instagram.com/reel/Dc3I6r-oVX7/?stkn=cmlybWF6dzA3cXVn Ila tusiogope...
4 Reactions
14 Replies
393 Views
Ndugu zangu.. Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu.. I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho. I'm highly...
9 Reactions
106 Replies
656 Views
Taarifa inasema, marehemu alikuwa anatoka Dar kwenda Mwanza kwa gari lake binafsi. Alipofika Morogoro tayari ulikuwa umefika muda wa swala, so akapaki gari karibu na petrol station akaenda...
1 Reactions
0 Replies
129 Views
‎Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetangaza kusitishwa kwa huduma ya maji kwa takribani saa 12 katika maeneo ya Dar es Salaam na Pwani, kesho Alhamisi, Septemba...
1 Reactions
0 Replies
237 Views
  • Redirect
Mie sina mengi ila nawasihi nyinyi mabinti na vijana wa mjini msio na kazi za maana lakini mnataka kumiliki iphone kila toleo jipya "Lindeni migongo yenu" mgongo ni kiungo muhimu sana
2 Reactions
– Replies
– Views
Mzee mmoja nchi Kenya kaunti ya Kisii amelazimika kuvunja nyumba yake baada ya madai ya Bikira Maria kutokea katika moja ya ukuta wa nyumba yake sehemu ya jiko kusababisha kufurika kwa mahujaji...
6 Reactions
23 Replies
347 Views
Ndugu zangu leo yametokea maajabu! Na ninashaka na huyu member.. min -me kuwa atakuwa na uhusika katika staff ya hili jukwaa.. Haiwezekani apigwe ban alafu hiyo ban iishie ndani ya dakika kumi...
6 Reactions
28 Replies
244 Views
Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakary Zubeir, amewataka Waislamu Nchini kufunga kwa siku tatu kuanzia kesho hadi Jumamosi, huku wakimuomba Mwenyezi Mungu aliepushe Taifa na mabalaa na kulijalia...
3 Reactions
5 Replies
160 Views
Najaribu kuwaza hapa hivi sheria inasemaje maana mimi sio mwanasheria,kama mnavyojua Raisi kama ni mwanaume lazma awe na mwenza wake ili kisheria atabulike kulingana na katiba inavyosema ili...
2 Reactions
4 Replies
90 Views
Hapana huyu jamaa ana tatizo sijamzoea hivi, yani kimya sana nimepata hofu NAOMBA, tupaze sauti apatikane ndugu yetu. Free min mee
22 Reactions
259 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Karatu kwa nini unasababisha kilio kwa wananchi namna hii? Unafyekaje Migomba na miwa ya wananchi wa kijiji cha Oldeani, Kata ya ldeani ,Wilaya karatu? Hiyo migomba ilijiotesha...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Unaweza kuishi nyumba ya laki 3 kwa mwezi lakini cha ajabu kila mwezi unapata hela ya kodi kwa wakati na mwenye nyumba hakuwahi hata kukufuatilia sana,,Lakini ukisema kodi kubwa itakushinda...
6 Reactions
4 Replies
136 Views
Utaratibu wa kushughulikia, kuhifadhi, na kuzika miili ya marehemu ni mada inayochochea mijadala mipana inayovuka mipaka ya kidini na kuingia katika nyanja za kijiografia, kihistoria, na...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Discover the unforgettable beauty of Tanzania on a 5-day African holiday safari with Widerange African Safaris. Explore some of Northern Tanzania’s most iconic wildlife destinations, including...
0 Reactions
0 Replies
116 Views
Dah Mwalimu Shabani hivi wewe na binti yangu mna ugomvi gani usio fika kikomo? Kuna vitu vingi binti yangu huwa analalamika mfano huwa unamlazimisha kununua ubuyu na visheti vyako. Binti yangu...
0 Reactions
4 Replies
87 Views
Jana nilipaki gari, nikavuka barabara kwenda kuchukua dawa pharmacy. Niliporudi, nilikutana na watu waliojitambulisha kuwa wanahusika na kukamata magari yaliyopaki vibaya. Wakaingia ndani ya gari...
3 Reactions
11 Replies
164 Views
Nina wazo la kuanzisha project ndogo ya kusaidia watoto wa shule za msingi wanaotoka mazingira magumu kupata begi la shule lenye vifaa muhimu vya kujifunzia ndani yake—kama madaftari, vitabu...
3 Reactions
4 Replies
91 Views
Kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mexico City, Mexico, ameripotiwa kufariki baada ya kupata kile kinachojulikana kama love bite au hickey shingoni kutoka kwa mpenzi wake. Kwa mujibu wa...
9 Reactions
71 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…