wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,596
- 29,525
Najaribu kuwaza hapa hivi sheria inasemaje maana mimi sio mwanasheria,kama mnavyojua Raisi kama ni mwanaume lazma awe na mwenza wake ili kisheria atabulike kulingana na katiba inavyosema ili serikali iwahudumie.na hivyo hivyo kama Rais ni mwanamke lazma awe na mume..sasa kwa upande wa Rais wetu kuondokewa na mwenza je!akimaliza mapumziko ataolewa tena ili kutimiza katiba inavyotaka au?
Nieleweshini pliez!!
Nieleweshini pliez!!