Chanel zote za michezo hadi Uefa kwa 43000/= kwa lugha ya kifaransa ukitaka channel za kiingereza unaongeza ten inakua 53000/= unapata super sport epl 473 na na super sport Liga 473 kwa...
WAZIRI MKUU ASHIRIKI HITMA YA MAREHEMU HAFIDH AMIR HASSAN KIZIMKAZI
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatano, Septemba 09, 2026, ameshiriki Hitma ya kumuombea marehemu Hafidh Amir Hassan...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumatano, Septemba 09, 2026, ameshiriki Hitma ya kumuombea marehemu Hafidh Amir Hassan, aliyekuwa mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt...
Kwamba umepiga PCB , cbg hasa kwa nyie madaktari wamifugo , kwamba mnakosa pesa ?
Halafu fomu six umehitimimu 2006 , ila hapa jukwaani hauna hata 2000 ya local bia🤔
Wewe ni bora ungekufa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa (Sumbawanga) kuna changamoto kwa Askari Polisi wa doria. Wanatumia mamlaka yao vibaya kutunyanyasa vijana, wanatupokonya simu zetu bila kuwa na sababu za msingi...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Dickson Juma, mwenye umri wa miaka 32, mkazi wa Kiabakari, Wilaya ya Butiama, kwa tuhuma za kuingia bila kibali na kufanya fujo katika Kituo cha Afya...
Ukiachana na Wamasai ambao wapo Kenya na Tanzania.
Wachagga ndio Kabila pekee ambalo lipo Tanzania tu lilotokea kwenye hii list.
Cha kushangaza Wachagga sio wanaongoza kwa idadi ya watu hapa...
Madereva wa Taxi Mtandao tunaofanya kazi mkoani Morogoro. Kero yetu kubwa ni suala la maegesho eneo la SGR. Tunapokwenda kituoni kuwachukua abiria wanaotumia, hatupewi nafasi ya kuegesha ndani ya...
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kinondoni, namba F. 8886 SGT Andrew, ameshambuliwa kwa ngumi na mateke na dereva Conrad Agonza Kayoza (35), Daktari Bingwa Magonjwa ya Ndani katika...
Wapenzi wa bongo movie
Binafsi nakerwa na tabia za waigizaji wa bongo movie kuwatengeneza walinzi (gatekeeper) kuwa wasio na akili timilifu.
Huwa nawaza mlinzi na umuhimu wake sasa iwaje awe...
Kamata mataa..
Tazara..
Fire..
Taa zote za Morogoro Road
No one cares kila mtu ana haraka hakuna kuheshimu mataa mwendo wa kuviziana hizi sehemu ndio zinafanya kuendesha pikipiki dsm iwe risk...
#HABARI Mtu mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 50 na 55 amesababisha taharuki katika Kituo cha Afya Nyasho, Manispaa ya Musoma mkoani Mara, baada ya kupanda juu ya mlingoti wa...
Naiomba Bodi ya Ithibati Nchini Tanzania (JAB) kufanya uchunguzi katika Taasisi za Waandishi wa Habari Nchini na sio tu kwenye Vyombo vya Habari (Media Houses) kwani Kuna waandishi wengi kwenye...
LEO KATIKA KUMBUKUMBU
9 Septemba 2022 — Kusaini Kitabu cha Maombolezo cha Malkia Elizabeth II
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II...
My Take
El Nino sio mzaha ,kama wanaojiita wahandisi wa Dunia wamesambaratishwa hivyo huku kwetu tuanze kutia maji.
https://www.instagram.com/reel/Dc3I6r-oVX7/?stkn=cmlybWF6dzA3cXVn
Ila tusiogope...
Ndugu zangu..
Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu..
I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho.
I'm highly...
Taarifa inasema, marehemu alikuwa anatoka Dar kwenda Mwanza kwa gari lake binafsi. Alipofika Morogoro tayari ulikuwa umefika muda wa swala, so akapaki gari karibu na petrol station akaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.