Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Polisi wamtaja jamaa anayesakwa kwa mauaji ya mke na binti zake Polisi wametoa picha ya CCTV ya mshukiwa wa mauaji anayeaminika kumuua mkewe na binti zake wawili kabla ya kutoroka Uingereza...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Nimesoma vitabu 17 Mwaka 2019 nimepata maarifa kadhaa tutagawana hapa na kuelekezana kistaarabu 1.The Black mass-John le Carré: huyu mwandishi anaelezea kwamba kabla ya uvamizi Wa Iraq America...
10 Reactions
54 Replies
5K Views
Apple imezindua iPhone 18 Pro na iPhone 18 Pro Max, huku bei zikianzia $1,199, sawa na takribani TSh milioni 3.18, wakati toleo la Pro Max likianzia $1,299, sawa na takribani TSh milioni 3.44 kwa...
1 Reactions
1 Replies
269 Views
Leo asubuhi, dereva wa Lori alipaki Lori eneo hilo, na kwenda kusali msikiti uliopo katika kituo hiko, aliporudi mlinzi alimfata na kumwambia ampe 15000 kama gharam ya parking, wakabishana kwa...
7 Reactions
48 Replies
878 Views
Aliyefariki kwa kuongeza uume, ameripotiwa kuwa alifanya taratibu hizo za kuongeza uume mara 5 kati ya mwaka 2024 na 2026. Igho "Tiny" Ubiribo, raia wa Nigeria na Influencer aliyeishi jijini...
0 Reactions
4 Replies
140 Views
Huku kitaa hali ni mbaya na tunashindwa kutambua je vinywaji hivi ni fake au havina ubora wa viwango haiwezekani kinywaji kimoja kikawa na radha mbili tofauti au kukosa kile kilevi chenye wewe pia...
4 Reactions
10 Replies
159 Views
Mji wa Mangaka na maeneo jirani sasa kunufaika na mradi wa maji wa mji 28 uliofanikishwa na Serikali ambapo hali ya upatikanaji wa maji kwa wananchi ni hakika asilimia 100 kutoka asilimia 20...
1 Reactions
0 Replies
51 Views
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa...
1 Reactions
0 Replies
133 Views
🔥 KWANINI WATU WANATESEKA NA ROHO ZA MADENI? Andiko la Msingi: 📖 Mithali 22:7 — “Tajiri humtawala maskini, naye akopaye huwa mtumwa wa akopeshaye.” 1️⃣ Laana au Misingi ya Familia Wakati...
4 Reactions
2 Replies
350 Views
Kwa zaidi ya miaka 20 mfululizo, shule za Kwema Modern Secondary School na Kwema English Medium Primary School zimeendelea kung’ara katika 10 bora za kitaifa, zikijipambanua kama taasisi za...
5 Reactions
22 Replies
489 Views
Polisi hawajijui. Na hawajui kuwa katika miaka ya karibuni jeshi la Polisi limejijengea sifa hasi mbele ya jamii. Utekaji, ubambikaji kesi na taarifa zisizokuwa na ukweli dhidi ya wananchi kwa...
9 Reactions
35 Replies
382 Views
Wamempiga sana na kumfanyia unyama wa kila aina na sasa yuko hoi katika chumba cha ICU. Daktari mmoja bingwa ni zaidi ya polisi 3000
13 Reactions
49 Replies
762 Views
1.Kigogo 2.Mboe 3.Zito 4.Shangazi Daaah, hii miamba ilimshambulia sanaa marehemu maghufur Cjui kwa sasa Nini Kimetokea. Asali tamu sana Mtume Kuna miujiza? Nini kimetokea ,,,,,,,>mama...
0 Reactions
1 Replies
50 Views
Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi Ngoja...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Nakuandikia ujumbe huu kwa nia ya kuonyesha hisia zangu za dhati na pongezi kubwa kwako. Hakika umekuwa kielelezo cha mwanamke shujaa, mwenye akili nyingi, msimamo thabiti na uzuri wa kipekee...
1 Reactions
4 Replies
123 Views
Wanaume Waogope Wanafunzi Kama Umeme: Siri ya Kupunguza Mimba Shuleni na Mtego wa "Wavaa wa Suti "Wakuu salamu, Kila alfajiri, mabinti maelfu kote nchini wanajifunga mikanda ya sketi zao...
0 Reactions
1 Replies
233 Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje...
0 Reactions
7 Replies
218 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…