Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu hii kozi ikoje huko SUA? Inatoa watu competent? Au ni bora mtoto akaenda kusoma tour guide kwenye vyuo vilivyo chini ya VETA? Bachelor in Tourism Management ina soko kwenye ajira? Je inaweza...
2 Reactions
4 Replies
104 Views
Mna pajua mlipo toa pesa hadi kuendesha crown ndani ya miaka miwili baada ya kuanza na mtaji wa 200k 😁
2 Reactions
9 Replies
188 Views
Tumeishasikia wataalamu wa hali ya hewa wakisema El Niño kali yaja. Na wameonya tayari kwamba El Niño ya mwaka 2026 imeimarika na inatarajiwa kuwa na nguvu sana. Hali hiyo inaweza kusababisha...
12 Reactions
78 Replies
707 Views
Nimesikitika kuona mbowe kutokwenda kumjulia hali mwenyekiti wake licha ya kusota rumande kwa muda mrefu na pia hajawahi kwenda au kusema lolote hata kwa bahati mbaya kumtia nguvu mwenyekiti wake...
11 Reactions
45 Replies
533 Views
Kwasa ieleweke mapambano dhidi ya ukimwi hatawezi kumalizwa na upande mmoja peke yake, nijambo linalohitaji ushirikiano wa pande zote katika utafiti wangu nimebaini wanawake wanahofia labda mimba...
21 Reactions
85 Replies
2K Views
Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake? Mimi naona kama mwanamke...
5 Reactions
24 Replies
451 Views
Alianza kujakama siku mbili hivi na nilianza kumzoea,Jana nilimuwekea vocha,akaingia ofisini akaniomba nimchikue video.Nilimwambia ana mimba maana alikuwa anatematema mate,Leo simuoni najisikia...
4 Reactions
23 Replies
310 Views
Nipende kutoa rai kwa watanzania kuacha kushabikia kitendo kilichofanywa na Daktari kupigana na askari tena akiwa katika majukumu yake. Mambo kama haya yakishabikiwa kila mtu kuchukua sheria...
4 Reactions
24 Replies
230 Views
Harakati za mrithi wa 2015 zilianza 2011 baada tu ya JK kuingia madarakani. Harakati za mrithi wa 2030 zimeanza. Coincidence Michezo ya kupeana sumu. Tumesikia hizi tetesi, hazijaanza leo...
4 Reactions
4 Replies
134 Views
Nna kijana wangu ana usonji anahitaji kujiunga kidato cha kwanza.shida ni shule nmekosa kabisa.. nyingi zimemkataa
0 Reactions
2 Replies
268 Views
Askari wawili wa Jeshi la Polisi, Izdory George Michael na Rehema Juma Magawa, wamefariki dunia baada ya kugongwa na gari aina ya Toyota Noah katika barabara kuu ya Dar es salaam - Morogoro kwenye...
17 Reactions
58 Replies
1K Views
Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu. Pambana...
5 Reactions
20 Replies
303 Views
Shirika la hali ya hewa la Umoja wa Mataifa limetoa onyo kali kuhusu hali ya hewa ya El Niño, likisema inaongezeka kwa kasi na huenda ikawa tukio lenye nguvu zaidi kuwahi kurekodiwa tangu...
3 Reactions
22 Replies
529 Views
Wakuu, Leo mimi nataka nishee na ninyi jambo moja. Kuna hiki kitu hua kinanishangaza sana. Nimekuja kugundua kwamba kuna watu hawawezi kabisa kukaa wenyewe peke yao. Hapa naomba nieleweke kwamba...
2 Reactions
5 Replies
297 Views
Hivi kweli hizi dawa za kuoga zinaweza kuleta maajabu au matokeo yoyote mtu anapotumia kwa kuzioga mfano kama kusafisha nyota n.k au ndo unaweza hata kuoga bahari zote mpaka zikaisha ila mambo...
2 Reactions
11 Replies
114 Views
Professor PLO Lumumba left the stage at a Kisumu conference after being asked to pause his speech for the late arrival of Kisumu Governor Anyang’ Nyong’o. The incident occurred during the 18th...
2 Reactions
1 Replies
125 Views
Habari za wakati ndugu zangu, Poleni sana na mahagaiko katika upambanaji wenu , wakuu Niende kwenye mada yangu natafuta mtaalam wa Saikolojia ushauri nasaha wanapatikana wapi? Maana napitia...
3 Reactions
18 Replies
152 Views
Ukweli usemwe tu, Millenial wameishia kuwa wahanga wa program za kibepari kutoka kwa mababi zetu. Bado wanaimani potofu, bado hawana uhuru wa kifikra.. Ila sisi, Gen Z tumeibuka na kuanza ku...
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Cha bure gharama Kama VISHOKA WALIWAUNGA WAKAWADANGANYA TANESCO WAMEANZA MSAKO WA NYUMBA KWA NYUMBA MAENEO TAJWA NA SASA HUKO MWANZA NAKO KUMEKUCHA MJIPANGE WANATEMBEA NA MAPOLISI
5 Reactions
9 Replies
328 Views
Kwa sasa betting addiction ni Moja ya janga la KITAIFA haswa Kwa vijana wa Genz . Serikali idhibiti betting mapema. Uraibu wa betting umeanza kuwa janga kubwa la kijamii, hasa miongoni mwa vijana...
20 Reactions
136 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…