kuna style mpya ya TikTok Live nimekuwa naiangalia nikipita pita kuperuzi baada ya kuchoka meta lakini mpaka sasa siijajua lengo lake ni nini hasa.
Unakuta mtu mzima kabisa amekaa kwenye live...
Hellow wa JF.
Utasikia vijana wakisema mimi siwezi kukaa/kupanga chumba/nyumba chini ya 300,000 au 500,000 au 800,000 kwa mwezi. Hapo hapo siku za mbeleni anakuja kuzalisha/zalishwa watoto kwenye...
Ni swali nimelipata kwenye mjadala wa kahawa au ni dalili za kifo..
Maoni ya Mdau
HALI NGUMU YA UCHUMI KWA MTU BINAFSI HUJA NA PACKAGE:
1. Kutengwa
2. Kutosikilizwa
3. Kudharauliwa
Tukubaliane...
Sisi tunawapa homework watoto kutokana na tulicho mfundisha. Na lengo ni kujua kama amaelewa alichofundishwa?
Lakini ajabu Wazazi badala ya kuwasimamia wafanye homework, wanawapa majibu na...
Ndugu wanajamii na mamlaka husika,
Huu ni uendeshaji hatari sana wa chombo cha moto na ni jambo ambalo halipaswi kuachwa liendelee kuwa kawaida.
Kama inavyoonekana kwenye video, dereva wa bajaji...
Ndugu yangu msikilizaji na msomaji,
Hakuna mzigo mzito unaoweza kumnyang’anya mwanadamu amani ya akili, utulivu wa usingizi, heshima katika jamii, na furaha ya ndoa kama kifungo cha madeni...
Habari wakuu,
Kalenda ya kuzaliwa imebeba uhalisia wa maisha yetu kwa ujumla, kila usichojua kuhusu wewe unaweza kukijua kupitia calendar yako ya kuzaliwa.
Calendar ya kuzaliwa ni code ya siri...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imebatilisha uamuzi wa kumfukuza mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha St John’s Tanzania (SJUT), Catherine Maganga, kutokana na tuhuma za kufanya udanganyifu...
IPO SIKU KIU YAKO YA ANASA ITAISHA, ILA UTAKUWA UMECHELEWA
Andiko kuu: Luka 15:11–24
Andiko la kutafakari: Mhubiri 12:1
Kuna wakati mwanadamu anaweza kuona maisha kama hayana mwisho. Ana nguvu...
TAARIFA KWA UMMA
AJALI YA BASI KUGONGANA NA GARI NDOGO NA KUSABIBISHA VIFO VYA WATU 04 NA UHARIBIFU WA MAGARI
Tarehe 07 Septemba, 2026 saa 07:40 usiku katika barabara ya Bagamoyo eneo la Bunju...
Hivi wanatumia maandiko gani kuruhusu wanawake wanao vuja damu kila mwisho wa mwezi kusimama mimbalini kama wachungaji au maaskofu?
Ili hali Biblia nzima inakataza mwanamke kuwa kuhani.
Haya ni...
Wasalaam,
kuna msemo mmoja ambao naamini una nafasi kubwa sana katika mjadala wa siasa za Tanzania.
“Tusibomoe nyumba kwa sababu ina kasoro. Lakini pia tusikatae kuikarabati kwa sababu tu...
Habari za jioni wakuu?
Mimi nina changamoto moja, nilikwenda Uganda lakini nikakutana na changamoto ya misosi migeni kwangu ambayo sijawahi kula hata kwenye kinywa ilikuwa haipiti kabisa...
Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia.
Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana.
Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi...
Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24.
Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ?
Dunia haina...