Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kipindi hiki cha mpito kuelekea nusu ya pili ya mwaka kinabeba siri nzito inayotengeneza mstari wa mgawanyiko kati ya yaliyopita na yajayo. Haya sio mabadiliko ya namba kwenye kalenda tu, bali ni...
16 Reactions
38 Replies
571 Views
Ukisoma kisa cha Kaini na Habili ( watoto wa Adam na HAWA ambao KWA mujibu wa mafundisho ya wakristo, waislamu na Wayahudi ina aminika ndio binadamu wa kwanza duniani jambo ambalo ni kinyume na...
13 Reactions
104 Replies
6K Views
Kumekuwa na ongezeko la watoto wa kike ambao wanakataa kuingia kwenye mahusiano kwa visingizio kadhaa ikiwemo wana focus na uchaji Mungu huku wakisubiri mtu sahihi,ambaye kwao ni mwanaume mwenye...
3 Reactions
6 Replies
102 Views
Walimu wazuri wazuri , wanafunzi wazuri wazuri 🎵 Umeingia darasani, ukaeleza somo kwa nguvu zote. 😅 ukatumia mbinu zako shirikishi , mara onesho mbinu n.k Then unawaangalia wanafunzi wako...
0 Reactions
5 Replies
89 Views
Ilibidi tuende kusuruhisha baada ya mke wake kulalamika jina lake kutohusishwa kwenye wosia kama mtu anaye takiwa kurithishwa mali. Ndugu yangu akaanza kueleza kama ifuatavyo: "Mme na mke sio...
3 Reactions
69 Replies
812 Views
Kizazi cha Gen Z sasa ndicho kizazi kikubwa zaidi duniani, kikiwa na wastani wa watu bilioni 2.04 — sawa na 24.8% ya idadi ya watu wote duniani. Kinafuatiwa na Millennials wenye watu bilioni 1.87...
0 Reactions
1 Replies
78 Views
Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa (nasubiri uchaguzi mkuu maana haukufanyika), lakini nina hamu ya kwenda kumpa pole ndugu Samia Suluhu Hassan. Je, utaratibu ukoje? By. Boss la...
3 Reactions
32 Replies
319 Views
Tangu utotoni nimeishi kwenye comfort zone. Kwangu, kula milo mitatu kwa siku, kupata mahitaji muhimu, kulipiwa ada na kuwa na mahali salama pa kuishi vilikuwa vitu vya kawaida. Kwa kifupi...
10 Reactions
15 Replies
315 Views
Nina miaka 45, miaka 8 iliyopita nilikuwa mfanyabiashara mkubwa hapo Kariakoo. Nilikuwa nina Duka la kuuza jumla vifaa vya magari (spares) kutoka China na Dubai.. mzunguko wangu wa biashara...
74 Reactions
637 Replies
44K Views
Imekuwa ni kawaida Watanzania especially wenye mishe mishe mjini kutafuta Huduma za kibingwa siku ya Jumamosi, ila Kitengo cha Macho cha Bugando ni moja ya kitengo chenye Huduma mbovu kuliko...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Wakuu naomba ushauri kwa aliyewahi kupitia hali kama yangu. Nimekuwa nikifuatilia settlement/payoff letter ya Platinum Credit tangu 10/08/2026 kwa ajili ya kulipa na kumaliza deni langu...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Mwalimu mkuu na mhasibu wake watupwa jela kwa MAKOSA ya rushwa. Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imewahukumu aliyekuwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyamusta, Daniel Gidambisye Murayda, pamoja na...
2 Reactions
16 Replies
372 Views
Ni mtumishi (Mwalimu msingi) aliyeamua kujiendeleza.Aliomba kuwekwa kwenye mpango wa masomo kwa miaka mitatu bila kufanikiwa.Mwaka Jana September,Akaamua kuomba scholarship katika chuo kikuu...
3 Reactions
19 Replies
230 Views
Nadhani pipiki ndio chombo kinachoongoza kuwauwa watu hasa vijana na tayar ukichunguza vizuri 90% ya familia zetu hapa Tanzania zimeshawai poteza mtu wa kalibu kutokana na bodaboda-pikipiki
1 Reactions
2 Replies
75 Views
Naishije haya maisha kwani nahisi kuchanganyikiwa. Mimi ni mama wa watoto 5, niliolewa lakini nimedai talaka na imetoka sina hata shilingi mia kaka. Iko hivi, mume wangu ni mfanyakazi wa serikali...
13 Reactions
44 Replies
3K Views
NAtaka kuhamisha makazi na harakati zangu za maisha kiuchumi na kijamii naombeni muongozo. Katika hali ya maisha,upatikanaji wa chakula,makazi,fursa za kiuchumi. Kwasasa nipo Singida ila nataka...
5 Reactions
11 Replies
177 Views
Mkurugenzi wa Vodacom Business, Nguvu Kamando (kushoto) akimkabidhi zawadi ya ukumbusho Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries Limited (TBL) Bi. Michelle Kilpin (kulia) mara baada ya hafla ya...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Anonymous
Sasa langu linahusu makampuni ya maji, nitayataja kwa majina hapa, lengo wafikishiwe wadau nao wachunguze. Hili sijui ni kwa sisi tu wenye pua kali, ila Brand za maji za Uhai, Afya, Hill na GSM...
15 Reactions
51 Replies
924 Views
Back
Top Bottom