Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
Hello Jf.
Je, kuna watu humu waliwahi kufunga na kuomba kwa siku kadhaa? (3,7 ama mwezi)
Je, lengo lenu la kufunga lilitimia?
Nataka kufunga kwa siku tano tu kuombea jambo langu flani, nipeni...
Bahati mimi huwa siamini katika uwepo wa nadharia ya uchawi ila tu Nina nguvu fulani ya maono kujua tafsiri ya kisaikolojia anayopitia mwotaji na maana ya ndoto yake..
Sasa ukiota unajaribu...
mimi 5'8, wife 5'4, mtoto 16 years 6'0 kasoro
leo alichelewa kurudi na imeanza kuwa kama tabia ikabidi nisimame nimgombeze, Ile hofu aliyokuwa nayo hapo zamani pindi akikosea siwezi kuiona tena...
Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo...
Umeshawahi kujiuliza nini kitatokea ikiwa mtu atakufa au kikundi cha watu watakufa wakiwa angani labda wako mwezini, mars nk?
Ikiwa imebaki mwaka mmoja shirika la Anga za juu nchini marekani NASA...
Habari
Baada ya kimya cha muda mrefu leo nimeona si vibaya kuja na uzi unaoeleza kuhusu shughuli ninazo zifanya huku ughaibuni.
Nimekuwa muajiriwa wa NASA kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa katika...
Anayedaiwa kuwa Kiongozi wa Taasisi ya Kusambaza Dawa za Kulevya nchini, Ally Haji, maarufu Shikuba na wenzake wawili, wamesafirishwa kimya kimya kwenda nchini Marekani usiku wa kuamkia jana...
Habari za usiku wakuu!
Jamani juzi kati hapa kuna mtu alipost uzi fulani kuhusiana na tatizo la utekaji wa watoto baadhi ya maeneo ya dar es salaam. Leo almanusura tumpoteze mtoto wa ndugu yetu...
Ma dj waga waduazi sana wanajifanya mademu wazur wote wanaokuja clabu au bar ni spesho kwa ajili yao tu. Demu anakupanga fresh alafu badaye utamkuta yupo kwa dj pembeni kama kifaraga cha kuchi...
Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya...
Makampuni mengi ya China yahamasika kufanya biashara ya umeme wa kijani
Wakati dunia iko mbioni kupunguza hewa ya ukaa na hatimaye kukomesha kabisa utoaji wa hewa hii chafu, China ambayo ni...
Miongoni mwa mambo ya maana katika hii dunia mbaya ya siku za mwisho ni Elimu. Kila mzazi anatamani kama mimi ninavyotamani wanangu wawe vichwa darasani katika masomo yao, lakini wengi, kama mimi...
"Tunatarajia sana matunda muhimu ya Mkutano wa 3 wa Kamati Kuu ya CPC, ambayo sio tu yana athari kwa maendeleo ya China, bali pia yatafaidisha Tanzania na nchi nyingine duniani." Haya yalisemwa na...
Moja ya jambo linalotisha kwenye maisha ni kufilisika, ulikuwa na mali zako kidogo zinakusogeza na zinakupatia chochote, una watu wamekuzunguka unawapa kazi na unawapatia chochote japo kidogo...
Habari za Harakati za kiuchumi.
Napenda kuwashauri Wafanyakazi wenzangu ya kwamba mchawi wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe sio kipato kidogo.
Mfano unajua kabisa kijana wa ambae hana ajira...
Katika zama hizi za kidijitali, inakuwaje mwanafunzi anakatazwa kumiliki na kutumia simu shuleni?
Simu imebeba maarifa yote ya dunia, ambayo mwanafunzi anapaswa kujifunza na kuyafahamu, lkn...
Tunaajiriwa kwa sababu tunauza ujuzi au huduma kwenye shirika au taasisi husika.
Ifikapo pale huduma isipohitajika, maana yake haitanunulika na kama ni bidhaa inayoharibika, itabidi kuacha ioze...
Dar es Salaam, 18 Julai, 2024
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la...
Ikitokea umekutana na mtu amabaye hamuelewani lugha kabisa iwe katika mambo ya kijamii, kazi, biashara au michezo na hakuna mkalimani huwa mnawasilianaje muelewane?
Yaani kama unajua Kiswahili tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.