Raia wengi wa Kenya katika mitandao ya kijamii hasa ule wa X wameonekana 'kumgeuka' mgombea wao wa nyumbani Raila Odinga na badala yake sasa wanamuunga mkono January Makamba kuwa Mwenyekiti wa...
Nimeangalia mustakabali wa Taifa letu na tulipo sasa na tunapoelekea nikajikuta nakumbuka mistari ya Coolio.., watu imekuwa ni msemo wa tafuta pesa..., yaani sio toa huduma wala fanya jambo ili...
Salaam,Shalom.
Wakati Dunia na mifumo yake ikijitengeneza kuhakikisha Dunia nzima unaungana kupata sarafu Moja, utawala mmoja na siku moja ya Ibada Dunia nzima ( JUMAPILI).
Nyikani, Taifa la...
Kuna picha moja inasambaa mitandaoni mtoto anasadikika kutekwa, kukatwa mkonona sehemu za siri huko Dodoma, na picha nyingine ya polisi Mkoa anasema mbwa wamekutwa na mkono wa mtoto. ninyi...
Wanafunzi wa shule ya sekondari mkoani Lindi na Mtwara wakisoma katika miundo mbinu iliyojengwa kupitia programu hii.
Awamu ya kwanza imefanikisha ujenzi wa vyumba vya madarasa vya kisasa 374...
Maswali yamekuwa mengi kuhusu jambo hili, Je, Kanisa liitii serikari au serikari itii kanisa? Je, Kanisa linaweza kuwa upande wa chama fulani? Je, serikali inatakiwa kuwaongoza waumini hata katika...
Jamani habari zenu?
Hivi hawa ndugu zetu wanaotoka nje na kuja kwetu wanabaniwa kama wanavyotufanyia sie? Kuna mama ameshasafiri sana kwenda huko, sasa kazini wamempa likizo yeye anataka kwenda...
Sisi Wakazi wa Banana, Gongolamboto Jijini Dar es Salaam tunakumbana na kero kubwa kwenye andaki (kalavati) ambalo tunalitumia kukatiza kwa chini kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwenye eneo...
Hii sijui niite ujinga ama ubinasfi au kukosa kabisa maarifa juu ya upendo wa nchi yako au kwa jamii yako kabisa?
Kuna hili sakata kwa sasa kwa wageni haswa wachina wamekuwa wengi sana hapa...
Yani wasifu ungekuwa unafatiliwa kuhusu tovuti ya bunge unaweza kushika mdomo wazi yani unakuta mtu anaweka ana PHD ambayo ujui kaipata kichochoro gani na mda gani.
mmoja mbunge X kuna chuo...
Nimekuja kugundua ya kwamba kula chakula Mara kwa Mara kunamaliza pesa aisee mpaka najuta Kwanini nakula chakula Kwahiyo nimeamua kujizuia kula chakula Asubuhi, mchana na Jioni au usiku ili nituze...
Naomba kujuzwa yafuatayo:
1. Je, unamjua mtu ambeye kabadilishwa kada au kupanda daraja mwaka huu?
2. Hivi ubadilishwaji kada na upandishwaji madaraja unaweza kuendelea hata baada ya mwezi july...
Kuna Afisa mmoja wa LATRA Morogoro anafahamika kwa jina la Fadhili, huyu mtu ni hatari sana kwa Vijana wanaoendesha Bajaji, anatutesa sana sisi Vijana na kinachouma zaidi ni kuwa inavyoonekana...
Naomba kwa mtu anayejua kama hizi course zinatambulika au laa linapokuja swala la kutafuta AJIRA bongo maana nimeona course Fulani zinatolewa na GOOGLE, MICROSOFT,COUSERA,IBM,UDEMY N.K ziko vizuri...
Siku ya tarehe 13.05.2024 imezinduliwa modeli mpya kabisa GPT-4o na kufanya uwezo zaidi kupatikana bila malipo kwa watumiaji wa ChatGPT.
GPT-4o ni modeli mpya kabisa inayotoa akili ya kiwango cha...
TRA Tanzania Hiki kiwanda kipo kata ya Kalobe Mbeya mjini. Kiwanda kina waajiriwa wengi na kinauza bidhaa zake sana. Cha ajabu baadhi ya bidhaa hazilipiwi stika ya TRA. Wafanyakazi tunalipiwa...
Ni Iringa hapa, tena Regional Referral Hospital, nimeshangaa sana au ndio yale mambo ya Halmashauri hayo, miradi inajengwa kwa fedha zetu ila unalipia tena kuitumia.
Inasikitisha sana yaani hii...
MAMBO YA KUZINGATIA UTAKAPOAMUA KUJIUNGA NA WAHUNI ÀU GENGE LA WANYWA DAMU ZA WATU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sasa umekua Mkubwa. Ni kama maisha huyaelewi hivi. Umejaribu kufuata sheria...
Mkazi wa Mtaa wa Kota, Kata ya Mlandege Mkoani Iringa, Goodluck Mgovano aliyekadiriwa kuwa na umri wa miaka 33 anadaiwa kumuua Mtoto wake Alvini Mgovano mwenye umri wa miaka minne kwa kumnyonga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.