Kampuni binafsi ya kuzalisha umeme ya Madope iliyopo Wilayani Ludewa mkoani Njombe, imefikia makubaliano na Serikali ya kukabidhi miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme kwa Shirika la Umeme...
Kumekuwa na kawaida ya Taasisi mbalimbali za umma na Binafsi wakati wa maadhimisho fulani ndio huchakarika kwelikweli lakini yakiisha ndio basi.
Tunawakumbusha kuendelea kuwa wakarimu na kutoa...
Ofisi za walimu wakuu shule za Msingi za Umma ni Changamoto kubwa.
Tunaomba serikali iwafikirie hata kidogo ofisi zao ziwe na hadhi basi.
Ili mtu afurahie kazi yake basi mazingira yanapaswa...
Mkuu wa dawati la Jinsia na watoto Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Hadja Mfinaga amewaomba wazazi wilayani humo kutowaficha watoto wenye mahitaji maalum na badala...
Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8)
kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo...
Upo wakati ambao unaweza kuwa na mawazo mengi mazuri ya biashara mpaka ukasahau kutafuta ajira za kuajiriwa. Wakati mwingine unakua unawaza sasa kama nikitafuta ajira ni nani atakayeweza...
Kusaidia watu sometimes ni kitu kizuri hasa ndugu, na rafiki wa karibu, ila inakua ngumu sana kusaidia kila anayekuomba pesa,kitu au kukopesha kila anayekopa.
Nimekua nakabiliwa na kuombwa pesa...
Mtaani pana hizi ndondo zinaendelea ziko chini ya halmshauri team za vijana wa mjini wanashindania ng'ombe sasa pale getini wanakiingilio sh. 500 kuingia uwanjani.
Uwanja wanaochezea ni uwanja...
Habari wanajukwaa!!
Kero yangu ni jinsi mazingira ya vitongoji vinavyokizunguka chuo kikuu cha Mzumbe vilivyo vichafu, inakera kweli, unabaki kujiuliza ustaarabu wa mtanzania uko wapi?! Au hadi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi Chuo cha VETA cha Mkoa wa Rukwa kilichopo katika Kijiji cha Kashai, Kata ya Momoka, Wilaya ya Sumbawanga...
John D. Rockefeller was the wealthiest American of all time and was once among the richest men in the world. By age 25, he controlled one of the largest oil refineries in the US. By age 31, he had...
Ernest George (37), amepandishwa kizimbani na kusomewa shitaka la mauaji ya kukusudia ya dereva, Majuto Seif.
George, ambaye ni Mchungaji wa Kanisa la Tanzania Assembly of God (T.A.G), maarufu...
Kwa mfano assume labda tungekuwaga tukifika umri wa kuanza kazi unachagua fani moja tu Unayotaka na fani zote mishahara yake ndo ileile tufanye hata million nne kwa mwezi na hakuna cha posho wala...
Kama mnavyojua binadamu huyuhuyu anayesumbuliwa na magonjwa chungu mzima yasiyoambukizwa na cancer ni kiumbe aliye busy sana anakimbizana na muda na maisha tofauti kabisa na kobe ambaye metabolism...
Nsikuchoshe na usinchoshe,Tusichoshane!
Kwa namna Hali inavyoendelea Kuwa mbaya katika jamii hasa mambo wanayoyafanya hao mabinti wanaoitwa "wadada wa kazi" nimeona na Mimi angalau nikatoa...
Baada ya kutoa UPDATES za kuhusu kutelekezwa Wazazi wa KOMBO nje ofisi ya RPC Tanga bila ruhusa ya kumuona mtoto wao na msaada wowote Na baadae Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini wa CHADEMA...
Habari zenu?!
Leo nilikwenda sehemu kumtembelea rafiki angu ambaye nilisoma nae primary, sasa nilivyofika pale kwao, ile kunikaribisha, nkakuta watu wanaongea kana kwamba kuna tukio la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.