Kwa takriban mwezi mmoja, Serikali ya Rais William Ruto imekuwa ikiripotiwa kukabiliana na Waandamanaji Vijana wenye Umri Mdogo maarufu kama 'GEN Z' ambao wanashinikiza Serikali ifanye mabadiliko...
Juzi nimejaribu kujaza taarifa za wazazi ili waweze kupata bima ya afya lakini nilirudishwa kwa sababu zifuatazo:
Majina ya mama anatumia majina ya baba baada ya kufunga Ndoa.
Majina ya Baba...
Matukio ya watu kutoweka katika mazingira yenye kutatanisha huku askari polisi wakihusishwa kuwashikilia yanaendelea kushika kasi nchini.
Taarifa mpya zilizolifikia Mwananchi zinadai kuwa vijana...
Haya mabasi yamekuwa yakilalamikiwa kuwa kuna uhuni mwingi unafanyika kwa abiria. Unapoenda kukata ticket wanakukatia bus jipya kwa nauli kubwa.
Ukija kupanda unakutana na ngarangara na...
JD Vance aliwahi kumwambia Trump kuwa ni Mpumbavu na Mwendawazimu asiyefaa kuwa Rais wa Marekani ila Wamarekani kwa kutuonyesha kuwa Siasa siyo Chuki na Uadui Wiki hii Mgombea wa Republican Donald...
Kila kukicha matukio ya kupotea kwa watoto, huku wakija kupatikana wakiwa hawana viungo vya sehemu za siri.
Shule nyingi Mbagala watoto wameacha kwenda shule wakihofia usalama wao.
Walimu...
Yaani katika watu ninaowachukia Tanzania hii ni Nyerere, ndiye aliingia madarakani na akakaa miaka 25 mwisho wa siku akawarithisha watanzania ujinga na umasikini yaani huyu mzee Mimi natamani...
Mjadala unaofanyika kwenye Jukwaa la Kodi na Uwekezaji 2024, Ukumbi wa JNICC Jijini Dar es Salaam, Februari 28, 2024:
https://www.youtube.com/watch?v=flJ-sm9Ke0A
MDAU: KUNA UTAMADUNI WA TRA KUTOA...
Inaelezwa kuwa zamani baadhi ya Viongozi walikua wazalendo kiasi kwamba walijitahidi kwa uwezo wao wote kuhakikisha Kuwa Tanzania inakuwa imara.
Sasa hivi wengi wao wana sura mbili akiwa mbele za...
Lema yuko sahihi 100%. Suala la wadudu ni kama laana kwa Arusha na nchi nzima. Wale wadudu wana future yenye giza tupu. Wengi wao walitakiwa wawe masomoni ila ndo hivyo hakuna mwelekeo wowote...
Nimuombe rais Samia kabla hajatoka mkoa wa Songwe, aitangaze mbozi kuwa kanda maalum.
Ndiyo najua mtashangaa, ila kwa matukio ya Mbozi inahitaji jicho la karibu la kiusalama. Vinginevyo mauaji...
Hasa kwa wale wanaonunua magari kwa mara ya kwanza, na hawana uzoefu wa kuendesha gari, na pia wale wote ambao wanaweza wakawa wana uzoefu wa kuendesha gari mijini, lakini hawana uzoefu wa...
Guys, Goodmorning.
Naitwa bwana Mbahili , ni mfanyabiashara mkoa mpya kabisa nchini Tanzania. Ninasikitika kutangaza kwamba hakuna mfanyabiashara asiependa kulipa kodi.. Ila kinachotufanya...
Nimekuwa naona kampeni mbalimbali zinazofanywa na taasisi na mashirika binafsi wakitumia mbio za marathon ,mabonanza nk kwa lengo la kuchangisha pesa kusaidia watu wenye shida kubwa hasa Watoto...
Kesho nilikuwa na safari ya moro nikaona niwachek niulize Ratiba zao nikauliza Treni ya kwanza inatoka saa ngapi nikaambiwa ni saa 12 kamili asubuhi, muda wa kuripoti ni saa 11 na kama huna tiketi...
Mheshimiwa Hussein Bashe, natumai na Rais wetu mama Samia Suluhu Hasan na washauri wake wengine utawafikia ujumbe huu.
Zao la bangi za aina tofauti tofauti (different varieties of hemp) linastawi...
Baada ya Ethiopia kuonesha nia ya kujiunga na jumuiya hii inayokua kwa wanachana na kupoteza nguvu ya malengo na pamoja ya utulivu wa kisiasa.
Viongozi wa jumuiya wamesema watazishawishi nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.