Ofisi za walimu wakuu Shule za Msingi ni Masikitiko

realMamy

JF-Expert Member
Apr 28, 2024
2,025
4,164
Ofisi za walimu wakuu shule za Msingi za Umma ni Changamoto kubwa.

Tunaomba serikali iwafikirie hata kidogo ofisi zao ziwe na hadhi basi.

Ili mtu afurahie kazi yake basi mazingira yanapaswa kuwa mazuri.
 
Hebu onyesha mfano kwa shule uliyosoma kwa kughalimia matengenezo ya vyoo vya watoto na ofisi ya walimu.
 
Halafu ukute ni yale maeneo yenye hali mbaya ya hewa hususan baridi kali Njombe sijui Makete huko! Dah!
 
Ofisi za walimu wakuu shule za Msingi za Umma ni Changamoto kubwa.

Tunaomba serikali iwafikirie hata kidogo ofisi zao ziwe na hadhi basi.

Ili mtu afurahie kazi yake basi mazingira yanapaswa kuwa mazuri.
Kwani ukichukua mkopo au mshahara wako wa miez 6 ukaikarabati kuna shida gani si unashinda wewe humo? Ipende ofisi yako basi Mwalimu.
 
Acha upuuzi wewe mwl mkuu wa shule ya msingi, tangu mmeongezewa marupurupu mnayoita posho za madaraka mmegeuka miungu watu huko mashuleni, mnanyanyasa walimu wenzenu na kuwadharau, mmegeuka chawa wa viongozi na kibaya zaidi hamna hata uweledi wa kiuongozi mpo mpo tu kusababisha makundi na migogoro kwa walimu.. ofisi za hadhi za nini sasa? Hopeless kabisa!
 
Kama hakuna kabisa ofisi.... Kamatia darasa Moja liwe ofisi ya walimu na wewe ticha mkuu Kaa humo.

Kama IPO na imechakaa wewe ticha mkuu ni kiazi. Umeshindwa kuikarabati Kwa vyanzo vyovyote?
 
Back
Top Bottom