Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Online Media (tv na radio) ni nyingi sana humu mitandaoni. Watu wanapata taarifa mbalimbali kwa haraka kupitia vyombo hivi kuliko Redio na Television za kawaida. Instagram na YouTube ndio...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
guest-1793390367
Ni basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
6 Reactions
243 Replies
14K Views
Nimeona taasusi mpya zilizotolewa na wizara ya elimu Tanzania. Naomba tusaidieni mawazo kama zinatekelezeka na zina tija kwa watoto wetu 1. Tuambieni waalimu wa lugha ya kiarabu, Kifaransa na...
19 Reactions
75 Replies
5K Views
Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake. kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ? kwa...
1 Reactions
7 Replies
557 Views
Nimerudi kazini umeme hamna, Watoto wanasema mafundi wa TANESCO walikuja kufungua nyaya kwenye nyumba ya jirani (tunashea nguzo) kisha wakaziacha chini kama hivi kwenye picha. Wakasepa zao ...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna mambo mengi hutokea katika hivi viwanja vya mfumo wa kisiasa,kimsingi hua ni hitilafu/utata wa sheria au uvunjaji wa sheria unaofanya na moja watendaji wa kiserikali may be kwa kujua au...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Wakuu mm huwa ni mdau ya maswala ya ujenzi na pia ni mshauri wa Mambo ya umeme wa majumbani na mabomba pia. Sasa ktk mwezi huu wa tatu Toka uanze bei ya vifaa muhimu vya ujenzi inaporomoka Bei...
15 Reactions
55 Replies
23K Views
Habari wana JF nimekutana na andiko hili la Adeladius Makwega wa DODOMA. Nafikiri kuna jambo la kujifunza hapa. Warangi ni kabila la kibantu linalopatikana katika mikoa ya katikati ya Tanzania...
8 Reactions
65 Replies
13K Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
92 Reactions
573 Replies
45K Views
Kinachowafanya msilipe pesa kwa watu kwa wakati ni nini? Pesa unakuta zipo lakini mtu hatoi makusudu. Ofisi muda wote imefungwa basi mnakaa nje ya ofisi yake muda wote kumsubiri yeye tu. Anakuja...
6 Reactions
8 Replies
555 Views
Mtoto wa miaka minne jinsi ya kiume amekutwa ametekelezwa nyuma ya nyumba kwenye makazi ya watu Kisasa majumba 300 baada ya kukatwa mkono wa kulia na sehemu za siri na watu wasiojulikana na...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
Wabongo wengi wanaamini katika kurogwa na majini. Wameaminishwa chooni Kuna majini, bafuni kuwa Kuna uwezekano wa kurogwa na kuteleza wakafa au kupooza. Kwa sababu hiyo wengi wametekwa na majini...
18 Reactions
25 Replies
1K Views
Naona kuna utitiri wa Viwanda vipya vinajegwa sana eneo la Mlandizi -Kibaha, maeneo mengi yamenunuliwa kiasi kwamba ukitaka kununua wewe mtu wa kawaida utaambiwa pale pashachukuliwa na fulani...
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Habarini ndugu wadau wa Jamii Forums, Najitokeza kwenu ili niweze kupata msaada wa kupata bank statement kwa ajili ya kuombea visa ili niende shule USA. Binafsi nina kiasi cha milioni 40 ambacho...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Anaandika Mwamba wa Kaskazini Nimemsikia Lau Masha anayejitambulisha kama mmiliki wa Fastjet akilalama kuhusu shirika lake na baadhi ya wapokea mambo bila kutafakari wakiungana naye tena kwa...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣 HASARA ZA KUPIGA PUNYETO KIROHO 🗣️Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo...
11 Reactions
26 Replies
6K Views
Ikunda Erick 29/10/2019 Ile adha ya mafuriko katika mto Msimbazi jijini Dar es Salaam, inayosababisha Daraja la Jangwani kufunikwa na maji, imepatiwa ufumbuzi. Wakati wowote kuanzia sasa, daraja...
4 Reactions
146 Replies
19K Views
Nafahamu alizaliwa Macca akakuzwa na wazazi wake akasoma na kuishi kama wanadamu wengine mpaka umauti ulipomfika akazikwa kama nabii na mtume. Amekuwa mtu maarufu sana tangu mtoto kwa nini...
2 Reactions
49 Replies
11K Views
Is China in the midst of a sperm crisis? New statistics strengthen a growing belief that Chinese men are joining the developed world in producing less sperm in their semen, a trend that raises...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mfano wewe unauza nyumba yako kwa milioni 10 umezunguka kutafta wateja mwaka mzima umekosa Ukaamua kutafta dalali ukampa Kazi ya kuuza Jioni ya siku hiyo anakuja na mteja na anainunua hiyo...
21 Reactions
102 Replies
9K Views
Back
Top Bottom