Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika nchi iliyojawa na kukosa haki nani anayeweza kwenda jukwaani na kusema free Tanzania 🇹🇿 Nani anayeweza kupaza sauti free Lissu, free nchimbi, free pole pole? Sio kwamba hawapo ila wote ni...
1 Reactions
0 Replies
106 Views
Mwaka 2001, Justin Nyari hakukubaliana na habari iliyochapishwa katika gazeti la Financial Times. Habari hiyo ilimhusisha na tuhuma mbalimbali, ikiwemo kuwa kiongozi wa kundi lisilo na sheria...
8 Reactions
17 Replies
689 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewataka wafanyabiashara wanaotegemea maji katika shughuli zao, wakiwemo waosha magari, wafyatua matofali na watunza bustani...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo."...
6 Reactions
41 Replies
1K Views
Dunia ina idadi kubwa ya watu wasio na shida na wewe, na wala hawana mpango wa kugombana na wewe, ikiwa utawahakikishia kuwa wewe ni wa kawaida, mnyonge, huna mbele wala nyuma na mwenendo wa mambo...
4 Reactions
5 Replies
84 Views
Kumekuwepo na visa na mikasa mbalimbali ya kuuwawa kwa madereva bodaboda huko mkoani Arusha na mara nyingi matukio hayo huripitiwa na Kusaga Tv Kwa siku za karibuni ni kama matukio hayo yanazidi...
0 Reactions
3 Replies
114 Views
Haya makabila hayana uwezo wa kukaza,kuvumilia na wanaongozwa na tamaa,wivu,umbea,ubinafsi (HAWAAMINIKI usimuamini kama mpo kwenye mchongo mmoja)
7 Reactions
26 Replies
293 Views
Mameneja wa mikoa na wilaya wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wametakiwa kufanya ukaguzi wa mara kwa mara wa miundombinu ya barabara ikiwemo madaraja na makalavati ili...
0 Reactions
2 Replies
74 Views
Kila mara nimekuwa nikikutana na bodaboda wakiwa wamebeba watoto wadogo Kati ya miaka 4-6 hivi wakitoka nyumbani kwenda shuleni na wakati wa kurudi pia. Jambo lililonifanya nikfikirie Sana ni...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
1: Lammens 2: full back mpya atakaye nunuliwa january 3: full back mpya atakayenunuliwa january 4: Yoro 5: de ligt 6: Baleba 8: Mainoo 10: Bruno 7: Mbeumo 11: Cunha 9: Sesko
1 Reactions
0 Replies
52 Views
Salma ally kimaro, akamatwa Dubai airport baada ya kisemekana ubuyu alio beba una bangi, na si ubuyu WA kawaida, Binti huyo alidai ubuyu huo alipewa na agent aliempeleka Dubai hivo hafahamu mambo...
2 Reactions
23 Replies
444 Views
Biblia ya kweli na sahihi kwa Wakristo ni ipi ? Je imakamilika au inaweza kuongezea vitabu vingine kadri vitakavyogunduliwa ? Kati ya biblia zifuatazo ipi sahihi 1. Ethiopian Orthodox-vitabu 81...
2 Reactions
21 Replies
238 Views
Mimi ni Mpenzi wa muziki na nikiwa na nafasi huwa nahudhuria events kadhaa ambazo top artists wa bongo wanaperforme, nimenotice jambo ambalo ni utaratibu ambao sielewi ulianzishwa na nani lakini...
3 Reactions
12 Replies
741 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, ameweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa manne na ofisi moja ya...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi...
18 Reactions
215 Replies
7K Views
Mnamo Mei 2019, Adeleye, mama aliyekuwa mfanyakazi wa kulea watoto mwenye umri wa miaka 73 kutoka nchini Nigeria, alihukumiwa kifungo cha miaka 15 jela huko Prince George’s County, Maryland...
1 Reactions
3 Replies
128 Views
Naomba msaada wa hili . Ukienda mfano bar au mgahawa unasikia harufu za kupikwa za vyakula na pia asubuhi namapema unaonavitu vinaletwa soda , maji, na vyakula vibichi. Ili vipikwe . Ila ukienda...
10 Reactions
32 Replies
690 Views
Android na iOS. Tafakari nasi- hii ni shajara, na Ina masomo yote ya mwaka husika, novena, rozari takatifu, tafakari ya siku na sala mbalimbali. Pia inafanya kazi bila mtandao. Shajara- hii pia...
5 Reactions
7 Replies
142 Views
Kisa hiki kilitokea Mnamo Juni 2014, ambapo wakazi wa Happy Home Apartment Complex huko Houston, Marekani, waligundua kuwa walikuwa hawajamuona mtoto Ayahna, mwenye umri wa miaka 9, kwa karibu...
3 Reactions
6 Replies
196 Views
Uyu dada namfaham sabab alisoma nami shule Level nlimwacha kidogo madrasa. Akaja olewa na mshkaji ambaye tulikuwa naye ofisi moja. Kwenye harakati za mtu mweusi. Wamefanikiwa kupata watoto watatu...
6 Reactions
25 Replies
602 Views
Back
Top Bottom