Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii ya leo ni tofauti kidogo na mada zetu zile, hii inahusika na kulipa kisasi. Katika maisha bila kujali unaamini nini hakuna jambo jema kama kusamehe! Msamaha hukusaidia mengi mpaka kifo na...
89 Reactions
312 Replies
47K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa limetoa ufafanuzi juu ya picha mjongeo inayomwonesha Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Pilato, akilumbana na Askari Polisi katika ibada iliyofanyika katika...
0 Reactions
7 Replies
231 Views
Wachaga waliporwa mali zao , walifutiwa vibali vya biashara , waliswekwa ndani bila ushahidi wowote Biashara zao ziliuwawa kwa kauli na mamlaka za nguvu sana kwa visingizio lukuki kipindi...
10 Reactions
33 Replies
351 Views
Wanasema sisi ndio God's perfect creation, ila ukiangalia kiundani hatuna hiyo perfection Yes we are intelligent than other species, yes tuna utashi lakini ndio most violent creatures on this...
5 Reactions
15 Replies
209 Views
Tena linapo kuja swala la furaha ya kweli ukiwa maarufu huwa inakuwa kama impossible hivi maana ile external facade ambayo watu wanakuona nayo nje zinakupa false sense of accomplishment. Na...
10 Reactions
39 Replies
516 Views
: Yohane 6:26-40 Yesu akawajibu, “Kweli nawaambieni, mnanitafuta si kwa kuwa mmeona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba. Msikishughulikie chakula kiharibikacho; kishughulikieni...
1 Reactions
7 Replies
156 Views
Anonymous
Sisi ni wakazi wa Magole na Mwanagati, Ilala, Dar es Salaam, tunakabiliwa na changamoto ya daraja linalounganisha maeneo haya mawili. Awali, Mbunge wetu alifika eneo hilo na kutueleza kuwa daraja...
0 Reactions
1 Replies
155 Views
Salaam Nianze na kutafakari kwanza asubuhi hii Hali hizi tunazokumbana nazo ni kwamba tumepangiwa au tumepanga sisi katika maisha haya tunayoishi sisi, Nimeenda na kuwahi kabisa kibaruani na...
8 Reactions
71 Replies
571 Views
Nilijua ni hadithi tu za kusadikika, na nilijua ni huku Goba tu kunakuaga na shida za maji kwa maeneo mengi na angalau kuna ratiba za maji Magomeni na manzese maeneo mengi leo ni mwezi wa nne...
2 Reactions
5 Replies
137 Views
Wataalamu wa Ardhi Mkoani Singida wameendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, hatua inayolenga kuwawezesha kutoa huduma bora na za kidijitali kwa wananchi. Matumizi ya mfumo huo...
1 Reactions
1 Replies
68 Views
Ruvuma Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kuchukua hatua za kisera na kiteknolojia kuboresha huduma za ardhi nchini, ambapo matumizi ya Mfumo wa e-Ardhi...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Muigizaji Jim Caviezel, aliyewahi kuigiza nafasi ya Yesu Kristo katika filamu The Passion of the Christ ya mwaka 2004, sasa anarudi kwenye ulimwengu wa simulizi za Biblia akiwa na nafasi tofauti...
1 Reactions
17 Replies
253 Views
Ebu fanyeni kurudisha jukwaa la wakubwa ili mambo yaende sawa hapa jf bwashee 🤔 Hili jukwaaa tumeliomba kwa mda mrefu sijui kwanini mnatubania bila sababu za msingi asee 🤔
2 Reactions
6 Replies
80 Views
Hili alifichiki Gen Z rate yao ya kuzeeka ipo kasi sana tofauti na Millennials. Wengi wana miili mikubwa, nywele zikuwa brown au nyeupe mapema na sura zao zinakomaa mapema sana. Hii ni tofauti...
13 Reactions
83 Replies
878 Views
Inawezekana Kwa miaka mingi siasa za upinzani zimekuwa za maigizo ya kutengeneza pesa. Hapakuwa na viongozi wenye dhamira ya dhati kupigania mabadiliko na maendeleo ya nchi Na huo ndio utamaduni...
0 Reactions
3 Replies
83 Views
Get up. Stand up fight for your right
0 Reactions
1 Replies
25 Views
https://m.youtube.com/watch?v=8Mw7LJ6EwEc&t=1764s[/URL]
0 Reactions
0 Replies
50 Views
NJOMBE Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi unatarajiwa kuwa suluhisho la changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi katika upatikanaji huduma za ardhi, ikiwemo foleni, gharama na usumbufu wa kufuata...
1 Reactions
0 Replies
93 Views
Back
Top Bottom