Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

guest-1793390367
December 2018 Chuma zake za kwanza Sauli Gemilang DPN na Sauli Benz DPC. Zilionekana Maeneo tofauti Tofauti Ubungo Riverside, Kibaha na Msamvu Zikielekea Kwao Chunya Kwa Ajili Ya Utambulisho...
1 Reactions
4 Replies
607 Views
Mwaka 2018 mzee wangu alilitoa shamba la familia lenye ukubwa wa heka 4 likiwa pamoja na miti ya mbao. Maamuzi ya kutoa sadaka shamba la familia aliyafanya mwenyewe bila kumshirikisha mtu yeyote...
26 Reactions
371 Replies
14K Views
Sina sababu ya kueleza mengi sna kuhusu Elimu na investment kwa kuwa kila mahali yanazungumzwa na kurudiwa rudiwa. Lakini watu wote wanasahau element muhimu sana ya network. Network ni namna...
33 Reactions
25 Replies
2K Views
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepata taarifa kupitia mitandao ya kijamii na taarifa maalum kwa Umma kutoka kwa Jeshi la Polisi Tanzania juu ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Huu mtaala ni mzuri kuuangalia na kuusimulia lakini utekelezeaji wake ni mgumu na hauwezekani katika mazingira yetu Walimu ambao sisi ndo wadau wakuu wa elimu hatukushirikishwa labda tusingekuwa...
8 Reactions
24 Replies
1K Views
Muda au kipindi gani nauli ya ndege inakuwa bei nafuu kuja USA, Mji au STATE gani ni nzuri kuhamia na kufanya kazi(yoyote) Kuosha wazee , kuosha vyombo, udereva, na kazi kama hizo, Nipo serious...
6 Reactions
25 Replies
1K Views
Sauli ni kampuni ya bus za kusafirisha abiria kutoka Mbeya kuja Dar na Dar kwenda Mbeya, kampuni hii ina takriban miaka miwili toka ianze kazi rasmi katika ardhi ya Tanzania. Katika miaka miwili...
23 Reactions
68 Replies
17K Views
Kuna hii tabia ya kurudisha mabaki ya mteja kwenye chakula Kwa wafanyabiashara hasa wa maeneo ya kawaida japo huwa hatuoni ila utakutana nayo tu. Juzi Kuna mtu kasema aliwahi shuhudia mama ntilie...
25 Reactions
136 Replies
4K Views
MMILIKI wa maduka ya nguo Jijini Dar es Salaam,Hussein Mkangala (38) maarufu 'Hussein Pamba Kali' amefunguliwa mashtaka ya kesi ya madai baada ya kushindwa kulipa Sh.Milioni 75 alizokopa kutoka...
1 Reactions
139 Replies
23K Views
Masoud kipanya ni moja ya watu wenye jicho la tatu wanaotumia katuni kujenga ujumbe na kuona mbele kuhusu hii nchi. Mimi ni mpezi wa katuni za masoud kipanya na kila ukizirudia unaona zimebeba...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama serikali inavyosema kila mara kuwa imejenga shule nyingi za kata na lengo kubwa ni kutaka watoto wa kitanzania wasome. Lakini cha kushangaza ni kwamba watoto wengi sasa hivi wanauza mifuko...
13 Reactions
66 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar...
22 Reactions
538 Replies
37K Views
Wakati China na Afrika zikiendelea kutafakari kwa kina mafanikio yao tangu kuanzishwa kwa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika, FOCAC, mwaka 2000, wadau wanasisitiza umuhimu wa pande...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema Binti anayedaiwa kulawitiwa na kubakwa bado yupo hai, hajafa kama ambayo imeripotiwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii. Kamanda wa Polisi...
1 Reactions
4 Replies
842 Views
Kampuni ya Kitanzania ya Agricom imekabidhi vifaa na zana mbalimbali za kisasa za kilimo kwa serikali kupitia Wizara ya Kilimo, wakati wa maonyesho ya Nane Nane yaliyofanyika Dodoma leo. Hafla...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Anonymous
Mataa ya barabara ya Iringa - Morogoro ni mabovu, huwa muda mwingi yamezima na ni hatari. Vyombo vya usafiri vinapita kwa kuviziana. Magari, pikipiki na bajaj ajali nyingi zinatokea. Mamlaka...
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Sina namna nyngne zaidi ya kusema Ajabu ! ajabu ! Naomba watu waje kunisaidia kushangaa! Kwa akili hizi zenye unyaufu uliyotukuka. Yaani kutwaaa kila mahali ,kila Kona kila chocho wakike Kwa...
11 Reactions
152 Replies
7K Views
Ningependa kushare na nyinyi kile ambacho nimebaini, ingawa siyo mhusika wala msimamizi/mwandikishaji. Majuzi, tarehe 5, nilikwenda Katoro kwenye kata yangu na kuamua kubadilisha kadi yangu ya...
0 Reactions
6 Replies
539 Views
Miaka ya 1990 na 2000, kamera za kidigitali zilipoanza kujitokeza, wapiga picha wengi walizidharau. Walijua kuwa filamu ndiyo msingi wa kazi zao, na kwamba digitali ilikuwa tu “mfumo wa muda.”...
0 Reactions
0 Replies
305 Views
Kweli mpira unabingiria, dakika 90 Simba moja alale nalo.
1 Reactions
0 Replies
383 Views
Back
Top Bottom