Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Why do some of God's major projects or plans misfire? Kwa kutumia akili yangu ya kawaida tu ya kibinadamu nimekuwa nikijiuliza hilo swali na hapa nitatoa mifano kadhaa: 1. Kwa mujibu wa maandiko...
2 Reactions
11 Replies
741 Views
Salaam Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume. Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari! Kanisa hili ni jipya, lilifunguliwa Tanzania mnamo mwaka 2015. Kanisa hili lina makao yake makuu nchini Korea Kusini. Kuna mengi nahitaji kuyafahamu kutoka kwa watu ambao wanafahamu abc's...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari. Leo ni siku ya tatu toka toka nipate taarifa juu ya sakata la msichana ambaye kimuonekano hata miaka 20 bado hajafikisha mkazi wa Yombo Dovya. Nikiwa kama raia na mtumiaji mkubwa wa...
0 Reactions
3 Replies
990 Views
Nimegundua ndege wengi hawaoni kioo, ukitenga kioo mbele ya ndege wengi hua wanajigonga kwenye kioo ishara kwamba hua hawaoni kama kuna kitu mbele yao. Nadhani ni kwa kuwa kioo ni transparent...
1 Reactions
8 Replies
464 Views
"Unajua kuna watu wanapitapita huko na kusema serikali hii kazi yake kufuja pesa, inanunua magari ya watendaji badala ya kununua trekta sasa nataka niwaambie, unajua mipango ina art yake hatuzuki...
1 Reactions
11 Replies
539 Views
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma. Akihutubia katika...
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Takribani mwezi mmoja wakazi wa kata ya Kawe tunataabika na kero ya kukatika maji kiasi bila sababu yoyote ya msingi jambo linalotishia mlipuko wa magonjwa kama kuhara na kipindupindu kutokana na...
0 Reactions
8 Replies
614 Views
Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta zinazoanza kutumika leo Agosti 7, 2024 ambapo kwa Dar, Petroli imepanda kutoka Tsh. 3,210 hadi Tsh...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Anonymous
Wakuu, Nane-Nane ya Mwaka huu imegubwikwa na ufisadi wa hali ya juu hususani katikamaandalizi yake. Hii yangu inakuja kama muendelezo wa kile amba ho kiliwekwa wazi kwamba kuna vyoo viwili tu...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Marehemu alifariki akiwa ktk ajali ya Gari. Kwa mujibu wa ataarifa zilizosambaa mitandaoni aliokena aakiwa katika gari la Kifahari aina ya Jeep. Gari lile pekee linakosti milioni zaidi ya 100...
7 Reactions
20 Replies
923 Views
Asili ya Mtanzania ni chuki. Mtanzania nadhani ni mtu kaumbwa na roho mbaya sana ya kichawi, kwa sababu. 1. Anafurahia Anguko la binadamu mwenzake iwe ulikuwa na mali ukafilisika hapo atafurahi...
83 Reactions
262 Replies
15K Views
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeeleza wazi kuwa imejipanga kutatua kwa wakati malalamiko ya kikodi kutoka kwa wananchi wanaokutana na changamoto mbalimbali, ambapo imewataka kufika kwenye...
1 Reactions
5 Replies
624 Views
Nilidhan atakua mtu wa haki na mfata sheria na mkemea maovu ila kawa tofauti sana, ni kama vile hajari kabisa hali za wananchi. Zile 4R zake madhan ni kwa ajiri ya CCM na CDM na si vinginevyo...
6 Reactions
14 Replies
788 Views
Shikamoooo mama popotee ulipoo Tumewiwaaa kuwaombaaaa mtusaidie jaman watu wa arusha moshiii tupateee na sie sgr Mungu awabariki sanaaa sanaa kwa hili
5 Reactions
11 Replies
840 Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa), Priscus John amedai rushwa barabarani kwa wakaguzi wote wa magari ni ya kiwango cha kutisha. Amesema wanaopokea wanaonekana kuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Ili urudi ulipo toka lazima ukubali kwamba umeshuka na uwe tayari kuishi maisha ya chini ambayo yanaendana na budget yako iLi pesa unazozipata uweze kusave upate mtaji uanze kurudi kwenye mfumo...
4 Reactions
2 Replies
535 Views
Leo nikiwa nasikiliza kipindi cha michezo katika redio ya East Africa, kuna jamaa akatuma ujumbe kuhusiana na mechi ya simba na yanga huku akiandika ujumbe ambao ulisomwa na ndugu mtangazaji...
11 Reactions
29 Replies
1K Views
Wakuu habar..! Kwa umri wangu ninastahili kuitwa mzee, maana Nina zaidi ya miongo mitano tangu kuzaliwa kwangu, Kila ninapokaa huwa nnaikumbuka sana nguo yangu niliyowah kuivaa miongo kadhaa...
19 Reactions
95 Replies
10K Views
Back
Top Bottom