Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

KAMA mzazi au Mlezi moja ya lengo kuu la Malezi ya Mtoto wako linapaswa kuwa: "Kumfundisha kujitegemea".... MTOTO anapaswa kukulia katika Malezi yanayompa Changamoto ya kukuza Ujuzi, ukakamavu...
3 Reactions
2 Replies
566 Views
Nianze kwa kumuenzi jemedari Mkwawa kwa ujasiri wa kukabiliana na Wajerumani. Kama kuna mtu ana details za kutosha atusaidie ili tuweze kufahamu kuhusu hii issue. Kama uongozi wa wahehe wakati...
1 Reactions
1 Replies
421 Views
Ukiajiriwa hizi Taasisi . Wewe umeuaga umaskini mazima au uwe Zombi na mlevi au mpenda ngono kupitiliza. Posho kama zote pia ya kubrashia viatu nje nje
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Yanga ugenini dhidi ya Kagera sugar 29 August na Simba ataanzia nyumbani uwanja wa KMC 18 August dhidi ya Tabora Swali langu kwanini simba acheze tarehe 18 na kisha...
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Mungu alitupa uwezo thabiti wa kufikiria, kujidhatiti, kuchukua tahadhari, kujilinda na mambo kadha wa kadha. Adui hasamehewi kirahisi na usimpe fursa ya ukaribu, ukizubaa anakumoa bila huruma...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Nakumbuka kuna siku nilikuwa naongea na lecturer alinambia hayo meneno, kuwa maendeleo ni stress tupu' . Ukipata utajiri hutataka uanguke, ukitaka kukua lazima uumize kichwa ili kufikia malengo...
10 Reactions
60 Replies
2K Views
Hakuna chenye mwanzo kisicho na mwisho! Hakuna mwenye matumizi asiyepigika! Hakuna kipya kisichozeeka! Hakuna mapenzi kitandani yasiyo na mshindo! Hakuna penzi lisilochuja! Hakuna kisicho na...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna ishu nataka nifix mtandaoni Sasa nimekuta Wana hii type of payment naomba mnielekeze nitumie hipi ambayo inasupport apa bongo
0 Reactions
1 Replies
297 Views
This is exclusive! Mkurugenzi wa vipindi wa kitengo cha tamthilia za kiswahili zinazoruka kupitia kisimbuzi cha DSTV mwanamama Mtanzania Barbara Kambogi sambamba na msaidizi wake bwana Onesmus...
65 Reactions
313 Replies
27K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema kitendo alichofanyiwa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo, ni kinyume cha sheria na maadili ya Mtanzania. Amesema binti huyo kwa sasa yupo...
8 Reactions
55 Replies
4K Views
Kwa Tanzania hasa watu wa kanda ya Kaskazini wana matumizi mabaya sana ya neno bilionea. Ukiwa tu na uwezo wa kumiliki gari nzuri ya thamani kubwa, bus kadhaa za usafirishaji au ghorofa maeneo ya...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Hilo tukio lina zaidi ya wiki sasa ila sijasikia polisi ikitoa taarifa za kuwafikisha mahakamani watuhumiwa hao zaidi nimesikia mtu mmoja aliyeshikiliwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uzushi juu...
1 Reactions
4 Replies
697 Views
Natumaini muwazima. Shida hazina adabu unajikuta unaingia online unaanika taarifa zako na unapewak kamkopo ka sh 20,000 interest kuuubwa. Lakini naomba kuuliza kuhusu usalama na hali halisi ya...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Jiite hard pain futa sweet pain
1 Reactions
4 Replies
578 Views
Nimekaa na kuishi na watu kadhaa, unamtendea sivyo ila yeye ana smile tu. Hasemi kitu. Yeye pamoja na mabaya yanayofanywa na watu wanaoona wako sawa na wabishi yeye kazi yake ni kuongea kidogo...
14 Reactions
62 Replies
3K Views
Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa...
1 Reactions
0 Replies
771 Views
Hatuwezi kufanana kwa kila hatua,maamuzi au michakato inakuwaje tunaforce mtu apende kitu ambacho unakipenda wewe? Tunaishi katika ulimwengu wa kibepari kila mtu amepatiwa uhuru sawa wa...
5 Reactions
12 Replies
573 Views
Awamu ya 6 Chini ya Rais Mwanamageuzi Dr.Samia imeendelea kupata mafanikio makubwa kwenye sekta ya Viwanda Kwa vitendo. Ndani ya miaka 3 hii Rais Samia amewezesha ujenzi wa viwanda Vingi sana...
3 Reactions
58 Replies
3K Views
Kuna na Upendo Peneza pia Manara msemaji wa Yanga deep down ni SIMBA 100% Kaenda Yanga kwa sababu ya njaa tu Msigwa si mwana CCM kwa hali iwayo yote.. Njaa iliyokimbilia kichwani ndio iliyompeleka...
14 Reactions
46 Replies
2K Views
Hopefully wote tupo njema tukiendelea kupambana na hali zetu. Kutokana na hali ya tz kubana sana kumekua na harakati mbali mbali za raia kujaribu kupeperuka na kusaka maisha sehemu tofauti tofauti...
35 Reactions
103 Replies
25K Views
Back
Top Bottom