The Rise of Sauli Luxury Bus

The Rise of Sauli Luxury Bus

otimbiotimbi

Senior Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
136
Reaction score
236
December 2018 Chuma zake za kwanza Sauli Gemilang DPN na Sauli Benz DPC. Zilionekana Maeneo tofauti Tofauti Ubungo Riverside, Kibaha na Msamvu Zikielekea Kwao Chunya Kwa Ajili Ya Utambulisho

Agosti 2019
Sauli Aliongeza Basi lake la Tatu Kutoka Scania Kwa Mara Nyingine Lenye Namba Ya Usajili T300 DRH Dereva Aliyekabithiwa Alikuwa na GoodLuck Mwinuka Maarufu kama Mbeya Boy

May 2020
Sauli Alirudi Tena Scania Tanzania Limited Kuinunua Gari yake ya 4 Scania Gemilang Yenye Namba za Usajili T668 DTF

Maarufu Kama Mjeshi Yaan Konde Boy Mjeshi

Vyuma Vilikuwa Maarufu Kwa Majina Yake Utani

Sauli Benz - ESCAPE PLAN
Sauli DPN - IACHE IENDE
Sauli DRH - MBEYA BOY
Sauli DTF - MJESHI

Kama Ilivyokawaida Yake Mkurugenzi Alikuwa Ni Mkeleketwa Wa SCANIA

Akaenda Tena Kununua Scania 3 Zingine
Marcopolo G7 DXE
Scania Gemilang DWL
Scania GEMILANG DWF

Akaanza na Ruti Mpya Ya Dar - Tunduma

R.I.P SAULI 🙏

FB_IMG_1723187232670.jpg
 
Man kushuka kwake kulikuwaje? Alianza kuuza moja moja au vipuli gharama? Wateja wachoka kushikiria roho mkononi?
 
Back
Top Bottom