https://www.youtube.com/watch?v=4-CwMyWk3wk
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amekiri kwamba Jiji hilo ni chafu, akisema Viongozi walijisahau kwa muda katika suala la usafi...
Ukilitaja jina Tabora Boys, kwa mtu aliyewahi kusoma Tanzania ya zamani, huwezi kuwa umetaja shule kama shule nyingine, umetaja historia, umetaja nidhamu, umetaja viongozi, umetaja akili za...
⭕⭕ Ulishawahi kujiona kama upo sawa halafu unaowaona watu wakikouona haupo sawa?. Ulishawahi kujiona kama unachukiwa hivi ingawa wewe unaona kama unawapenda watu wanaokuchukia?. Majibu ya maswali...
Serikali imefanikisha kazi ya kuchimba visima 10 mkoani Singida kwa kutumia wataalam wazawa na mitambo ya Serikali.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso (Mb) kufuatia kazi hiyo amemkabidhi mkandarasi...
Na Mwandishi wetu
JACOB COXON NA SAFARI YA ANI, AGI NA ASI
Hebu fikiria mhandisi aliyesaidia kujenga gari la kasi kubwa sana, kisha anashuka na kusema, "Sina uhakika breki zake zitafanya kazi."...
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wanafunzi na wahitimu wa Vyuo Vikuu Nchini kuanzisha, kujiunga na kurasimisha vikundi vyao vya ujasiriamali ili kuongeza uwezo wa...
Watu thelathini na saba walioshutumiwa kwa uchimbaji madini haramu kaskazini-magharibi mwa Nigeria wamefariki wakiwa kizuizini, maafisa wa eneo hilo wanasema.
Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu...
Leo nitasema kuhusu ubatizo.
Wakiristo wote duniani wanaamini kwamba,kubatizwa ni moja ya mafundisho ya Yesu. Ukweli ni Yesu alibatizwa (kwa maji ) na Yohana (mtume) na sababu ya kubatizwa ni...
Tukutane New York!!!!!!
Tanzania ikiendelea kuongoza juhudi za kuimarisha afya na ustawi wa mama na mtoto barani Afrika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Kinacho endelea awamu hii ni kufuru.
Watu wanapiga pesa, watu wana shusha mijengo.
Na tukienda hivi mpaka 2030..
Hakika, kuna mijitu inajichotea mali mpaka basi.
Shame on us ambao hatuko...
👉 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob John Mkunda, alisema kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) litaendelea kushirikiana na Vyuo Vikuu vya Tanzania ili kuongeza tija...
MISENYI
Kikao cha maridhiano cha kujadili na kutafuta suluhu ya changamoto ya ardhi inayowahusisha wananchi, wafugaji na Jeshi kimefanyika leo Sept 17, 2026 katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya...
NAIROBI, KENYA
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inashiriki mafunzo ya wiki moja kuhusu mifumo ya usimamizi wa upimaji na milki za ardhi, yanayofanyika jijini Nairobi, Kenya...
Unaweza kubatizwa na usipokee Roho Mtakatifu.
Unaweza kupokea Roho Mtakatifu kwa kuwekewa mikono au la.
Mambo haya yamekuwa yakiongelewa na baadhi ya watu, bila majibu sahihi.
Hebu tuyaangalie...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam-Tanzania, 17 Septemba 2026: Je, umekwama katika ufanyaji wa kazi ambayo unajua kabisa hiyo siyo kwa ajili yako, na umewahi kujiuliza kama kitu ambacho una uwezo...
Kwa nini wanaomini mbinguni na peponi kupo wanaogopa kufa?
Kama una uhakika kuna mbingu, peponi, Jannah Firdausi ambapo watu wanaomuamini mungu wakifa wanaenda unapaswa kutamani kufa mapema...
Kuna wanawake wengi nawafahamu kutoka kwao kimsingi imetokana na wao kuwa na makalio makubwa na uzuri mwingine kiasi wa ziada.
Naamini hali ni hivyo pia kwa wanawake wengi wa Tanzania wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.